Hvi chadema na kombat wamelaaniwa?

3.jpg
 
haya picha hizo wadau .hili vazi kwa sasa linaheshimika sana.....siku hizi hakuna mda wa kununua suti...piga combati usave pesa
 
ccm bana.najua mtaiga na nyie muanze kuvaa vazi letu wakati wa harusi
 
Wacheni wakimbie kama Kadafi. Maana hiyo ni people power. Usishangae mpaka field force wakakimbia.
 
Hawa machinga waliokimbia bila shaka walikuwa ni jk, nepi, mkama, lowasa, rostam aziz, chenge, wasira,chiligati, msekwa na luhanjo.
Kumbuka: Mpumbavu hujibiwa kipumbavu zaidi
 
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
<br />
<br />
aliwazalo mjinga,mpumbavu kama wewe
 
Ujinga wa kifikira kuvaa manguo magumu kama yale! Ndani ya Chadema kuna watu hawayagusi kabisa!
 
Sio laana bali ni uendawazimu.MIMI NI MWANA CDM LAKINI HUWEZINIKUTA NIMEVAA SARE ZA MGAMBO.KATI YA MAMBO YANAYOTUTIA DOA NI HILI LA MAGWANDA,HADI TUNAITWA MAJINA MABAYA YA 'MAGWANDA'.
naona hapa kicheche kimeliwa na kuku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom