Hvi chadema na kombat wamelaaniwa?

kama watu walitimua mbio,ninana aliyekujulisha wanakimbia kwa sababu ya mavazi?na hiyo sehemu hawezi kuwa mjini kama ulivyosema,mengineo mlikuwa vibaka.tumeshatoka gizani mzee.
 
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
<br />
<br />
Usilete utaahira wako humu jamvini kama huna cha kuandika kojoa ukalale
 
Nadhani tunatakiwa tuangalie hoja zaidi na sera za chama kuliko mavazi.Kuangalia mavazi ni Umasikini wa kufikiri,nadhani mwanzisha mada ametumia masaburi zaidi kuliko kichwa kabla ya kupost.Watu kama hawa ni typical kwamba wanatokea kule kwa Magamba kwa sababu m2 asiyetumia masaburi hawezi kupoteza mda wake kuweka Post kama hii
 
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?

hapa ndipo huwa naona usemi wa masaburi kwamba kuna baadhi ya watu wanafikiri kwa kutumia makalio; usemi huu una mashiko
 
Jaribu kesho kuvaa suruali nyeusi na shati lako la kijani pita mitaa yenyewe watu wengi uone utakavyozomewa na kuona aibu we mwenyewe!
 
Kama ungetumia muda wako kujifunza kuandika properly ungekua na faida zaidi hata kwa jamaa zako!!!
 
Umelaaniwa wewe na chama chako kuvaa nguo za kijani na njano na sasa azitoshi mnanunuliwa tkt za ndege kuchukua suti za kuvaa shame on you all na vizazi vyenu visivyosikia mppaka kufa unataka kujua umuhimu wa kombat?
 
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?

Ni CCM hiyo hiyo ndio iliyowajengea hofu wananchi kuwaogopa mgambo kwa kuwafanya mgambo wawapore wafanyabiashara mali zao
 
Acha uhuni wako,mbona wengine wanapo vaa mavazi yao husemi upuzi huo acha unafiki
 
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?

Crap!!! Tatizo si wewe ni akili zako na uwezo wako wa kufikiri,natambua kuwa unapenda kuandika thread zenye mshiko ila uwezo wa akili umefika mwisho..mwanatheolojia maarufu sana katika ukristo aliyeishi miaka mingi baada ya kristo aliyeitwa Mtume Paulo aliwai andika na hapa namnukuu "Kutenda mema ninapenda lakini siwezi....." nadhani unaweza kuwa ume-prove maneno ya huyu mwanatheolojia.....Nchi hii ina matatizo mengi kwasababu ya kujaza vilaza,wanafiki kama wewe...hapa sio mahala pa mipasho mkuu...post kama hizo peleka facebook kwa wanamipasho wenzako....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom