Hvi chadema na kombat wamelaaniwa?

Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
211
25
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
 
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
Teh teh teh teh! Ahahahaha
 
Kweli umekosa cha kufanya, .....''Kama unazijua aina za nyoka na tabia zake'' mtafute nyoka mwenye rangi ya kijani .....study tabia zake na sumu aliyonayo ndo utajua CCM na KIJANI wavaacho walivyo HATARI ZAIDI hasa kwangu na kwako pia.

KWA HERI.
 
Inaonekana walikuwa wezi kwa nini wakimbie bila kosa hata kama ni mgambo si ni walinzi wa Amani yeyote anayeogopa Mgambo basi mambo yake aidha si ya haki au ni mwizi.
Wale waliokuwa wanakimbia walikuwa MAGAMBA walipoona magwanda walijua ufisadi wao kwisha basi hawakuwa na jingine bali kutimua mbio kwenda kwenye NEPI.
 
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?

Yaani kabisa umekaa, ukafikiri na kuanzisha uzi huu, magamba kwa kutoa pumba tu hamjambo.
 
hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
masaburi
 
Sio laana bali ni uendawazimu.MIMI NI MWANA CDM LAKINI HUWEZINIKUTA NIMEVAA SARE ZA MGAMBO.KATI YA MAMBO YANAYOTUTIA DOA NI HILI LA MAGWANDA,HADI TUNAITWA MAJINA MABAYA YA 'MAGWANDA'.
 
naona ndo umeamka,Hongera kwa kupata usingizi mchana....Eti mm CDM ,...CHADEMA MAGAMBA ..uhalisia SISIMU..

Naona umetumwa pole sana..
 
Sio laana bali ni uendawazimu.MIMI NI MWANA CDM LAKINI HUWEZINIKUTA NIMEVAA SARE ZA MGAMBO.KATI YA MAMBO YANAYOTUTIA DOA NI HILI LA MAGWANDA,HADI TUNAITWA MAJINA MABAYA YA 'MAGWANDA'.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Ukikua UTAACHA!! si umemaliza, haya NENDA KACHAMBE!!
 
kama ccm na rushwa naufisadi .......eti ugunga walikuwa wanagawana posho
 
Ukisikia great thinkers ndio hawa, mavazi na kutisha vinaingiliana vipi? Majambazi ya EPA, Meremeta, Ricmond yalivaa nguo gani hamuoni kuwa yanatisha na suti zao. Wenzenu mnaowatuhumu kuwa ni magamba wana mavazi kama yenu na wanatisha vipi mbona mkiwaona mnawakumbatia badala ya kuwakimbia?
 
Sio laana bali ni uendawazimu.MIMI NI MWANA CDM LAKINI HUWEZINIKUTA NIMEVAA SARE ZA MGAMBO.KATI YA MAMBO YANAYOTUTIA DOA NI HILI LA MAGWANDA,HADI TUNAITWA MAJINA MABAYA YA 'MAGWANDA'.
Kuna kazi!!!! Hizi ni akili za bongolala kwelikweli, na maskauti wakivaa vazi hilo linaitwaje? Marehemu Mwl Nyerere alipokuwa akilivaa katika shughuli mbalimbali za kitaifa kama kuwasha mwenge, matembezi(maandamano) ya kuunga mkono mambo kadhaa muhimu kama Azimio la Arusha, alikuwa mgambo? Tena alikuwa akitinga na kofia mzee wa watu. Hivi muasisi huyo wa CCM ni mara ngapi alionekana akivaa kimagamba? Mwenye ushahidi wa picha hiyo aitoe humu.
 
Hii topic naona ingeenda kule kwenye jokes, hapa hii siyo topic ya siasa.
 
Kwa vazi hili chadema wanafuata msimamo wa nyerere kwa vitendo. Katika shughuli rasmi za kijamii mwalimu nyerere alitinga vazi hilo. Magamba mpooooooooo!!!!!!!
 
naona ndo umeamka,Hongera kwa kupata usingizi mchana....Eti mm CDM ,...CHADEMA MAGAMBA ..uhalisia SISIMU..

Naona umetumwa pole sana..

Acha woga hilo ni vazi unaogopa propaganda za MAGAMBA. Kinachofanya cdm ni ile ineeheart commitment sio mavazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom