muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,115
- 4,802
wadau habari zenu?
naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute!
mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na taarifa za kiinteljensia kuujua ukweli.
huyu father ni mlezi wa vijana hapa kanisan*
sasa baada ya kuona viashiria hatari kati ya father na mpenzi wangu ikabidi nianze uchunguzi mara moja tena wa hali ya juu kama FBI
kwanza machale yalinicheza baada ya kuona padri anachati na mpenz wangu. hivi jamani padri anapataje mda wa kuchat na madem?
baada ya kumbana mpenzi wangu akanambia kua ni kweli father alimtongoza lakini akamkataliaa
hivi jamani dunia ndo imefikia hapa?
hivi nyie mapadri wa type hizi mwamdanganya Mungu Au?
nimeamua kuhama na kanisa kabisa hii ni aibu na fedheha
jamani baada ya kumpa mpenzi wangu kibano naomba ushauri wenu huyu father nimpe adhabu gani? kama noma na iwe noma mimi naliamsha dude