HUZUNI:nimegundua nagombea demu na father wa kanisa langu

wadau habari zenu?
naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute!

mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na taarifa za kiinteljensia kuujua ukweli.
huyu father ni mlezi wa vijana hapa kanisan*
sasa baada ya kuona viashiria hatari kati ya father na mpenzi wangu ikabidi nianze uchunguzi mara moja tena wa hali ya juu kama FBI
kwanza machale yalinicheza baada ya kuona padri anachati na mpenz wangu. hivi jamani padri anapataje mda wa kuchat na madem?

baada ya kumbana mpenzi wangu akanambia kua ni kweli father alimtongoza lakini akamkataliaa
hivi jamani dunia ndo imefikia hapa?
hivi nyie mapadri wa type hizi mwamdanganya Mungu Au?
nimeamua kuhama na kanisa kabisa hii ni aibu na fedheha

jamani baada ya kumpa mpenzi wangu kibano naomba ushauri wenu huyu father nimpe adhabu gani? kama noma na iwe noma mimi naliamsha dude
Kinywa cha mpumbavu hunena yaliyomo ndani yake
 
Wewe kijana wacha utoto alaaaaa!!
Ebooo!!Hivi ukisikia padre unadhani hana hisia?
Halafu unasema ndio tumefika hapa?Wapi hapo tulipofika??

Haya mambo siyo mapya,hayajaanza jana wala juzi.Na Padre sio Kanisa ila kanisa ni Padre,kati ya mapadre kumi,wawili wakianguka dhambini haimaanishi kanisa limeanguka na halipo tena.

Muombee padre wako,wewe una nafasi ya kuoa na kuendelea na maisha.Usimtangaze kwa mambo madogo na ya kibinadamu kana kwamba na wewe ni malaika.Jitazame upya,kama Ukatoliki wako ni wa "blututh" basi kazi unayo.

Tuwaombee Watumishi wa Mungu,wanapoingia katika dhambi na uvuli wa mauti.Tukumbuke mengi wanayojitoa na kutusaidia kiroho tunapokuwa katikati ya mtanziko wa maisha ya mwili na roho.Jijengee hali ya kuweka mambo kifuani,usiropoke hovyo kwa mambo ambayo hata Nabii Daud na ukuu wake yalimshinda,Suleiman na hekima zake yalimshinda....Hata wale kumi na wawili waliokula na kukaa na Yesu,yupo mmoja aliingia dhambini na kumuuza Yesu kwa vipande vya pesa.
barafu sasa kama ni hivyo kwa nini hawaoi?
 
Huyo Padri komesha yake ni kumla Kiboga tu..

Sitasahau kipindi baba aliponichukia baada ya kujua Ninamla demu wake

-Mond-
 
wadau habari zenu?
naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute!

mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na taarifa za kiinteljensia kuujua ukweli.
huyu father ni mlezi wa vijana hapa kanisan*
sasa baada ya kuona viashiria hatari kati ya father na mpenzi wangu ikabidi nianze uchunguzi mara moja tena wa hali ya juu kama FBI
kwanza machale yalinicheza baada ya kuona padri anachati na mpenz wangu. hivi jamani padri anapataje mda wa kuchat na madem?

baada ya kumbana mpenzi wangu akanambia kua ni kweli father alimtongoza lakini akamkataliaa
hivi jamani dunia ndo imefikia hapa?
hivi nyie mapadri wa type hizi mwamdanganya Mungu Au?
nimeamua kuhama na kanisa kabisa hii ni aibu na fedheha

jamani baada ya kumpa mpenzi wangu kibano naomba ushauri wenu huyu father nimpe adhabu gani? kama noma na iwe noma mimi naliamsha dude
Mtegee mtego umnase guest kisha ita vyombo vya habari. Hili kanisa wataliua, mimi juzi yamenikuta ya kanisa kupokea michango kwa watu wanaojua si safi ila walipohitaji huduma eti ndo wanahoji umebatizwa? Mbona michango hamuulizi?
 
wadau habari zenu?
naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute!

mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na taarifa za kiinteljensia kuujua ukweli.
huyu father ni mlezi wa vijana hapa kanisan*
sasa baada ya kuona viashiria hatari kati ya father na mpenzi wangu ikabidi nianze uchunguzi mara moja tena wa hali ya juu kama FBI
kwanza machale yalinicheza baada ya kuona padri anachati na mpenz wangu. hivi jamani padri anapataje mda wa kuchat na madem?

baada ya kumbana mpenzi wangu akanambia kua ni kweli father alimtongoza lakini akamkataliaa
hivi jamani dunia ndo imefikia hapa?
hivi nyie mapadri wa type hizi mwamdanganya Mungu Au?
nimeamua kuhama na kanisa kabisa hii ni aibu na fedheha

jamani baada ya kumpa mpenzi wangu kibano naomba ushauri wenu huyu father nimpe adhabu gani? kama noma na iwe noma mimi naliamsha dude
Father alishamla mda ndo mana alikuficha toka mwanzo, amini nakwambia kama asingekuwa anafurahi a uhusiano wa yeye na father angekwisha kwambia, lakini aliupenda uhusiano na father ndo kisa cha kukuficha hadi ulipo mpa kibano, jiandae kisaikolojia, father ataendelea kula katika mazingira tofauti, stuka malaika wame kutahadharisha. POLE MKUU.
 
Kwakweli, bora tu waruhusiwe, we padri ana watoto zaidi ya wawili na mwanamke mmoja huyo si ni mkewe kabisa.
mbona mnawashambulia mapadre mkijihesabia haki kwa matendo yenu! Sijapinga kwani sina uhakika na kilichosemwa lkn nachojua kila binadamu ni dhaifu na anaweza kuanguka dhambini muda wowote! Tahadhari kwa mtoa uzi kama ameandika kwa ajili ya kulichafua kanisa akatubu na nafsi yake vinginevyo yapo maandiko mengi sana tena mabaya zaidi ya hayo yaliyowahi kuwepo lkn wahusika hawajawahi kuwa na mwisho mwema!
 
Nani kawashambulia!! Tumesema ukweli kulingana na uhalisia. Wapi tumesema sisi ni wema????
 
Back
Top Bottom