donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Tuntemeke sanga
Tuntemeke sanga
Tuntemeke sanga
Marehemu Tumtemeke Sanga,alipotoka ughaibuni Mwl Nyerere alimuuliza ampe kazi gani,yeye akamweleza mwl kazi inayomfaa ni urais,kwanza yeye akidai ana uelewa mkubwa kuliko mwl,napia elimu yake ni kubwa kuliko mtanzania yeyeto kwa wakati huo,mwl alimuweka kizuizi cha kutotoka wilaya ya Makete kwa miongo kadhaa

Kidogo nidhanie pinda
hahahamwalimu alikua mbabe
Kidogo nidhanie pinda
kawatapeli sana wakinga kule makete
Huyo bwana anaitwa Peter Onu na sio Tuntemeke Sanga kama mnavyotaja...
Peter Onu ni katibu mkuu wa zamani wa OAU (AU) mwaka 1983 - 85.
Na hiyo picha ilipigwa makao makuu ya OAU jijini Addis Ababa katika moja ya vikao vya wakuu wa nchi wa OAU.