Huyu Swahiba wa CRDB ni nani?

Huyu Swahiba wa CRDB ni nani?

Commoner

Member
Joined
Dec 18, 2023
Posts
98
Reaction score
206
Screenshot_20240313-140628_Instagram.jpg

Huyu swahiba wa CRDB ni nani? She is cute.

#Tangazo zuri, halichoshi.

Hongera CRDB.
 
Mimi kwenye hilo tangazo nilipenda tu mandhari ya hilo soko, natamani masoko yote nchini yangekuwa yamepangiliwa kama hivyo, na usafi wa hali ya juu kiasi hata mvua zikinyesha panaendeka vizuri tu
 
Mimi kwenye hilo tangazo nilipenda tu mandhari ya hilo soko, natamani masoko yote nchini yangekuwa yamepangiliwa kama hivyo, na usafi wa hali ya juu kiasi hata mvua zikinyesha panaendeka vizuri tu
Sure..very neat.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom