Ila yule Kevin Kijiri beki wa kulia Singida Fountain alistahili kabisa kuwepo AFCON

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.

Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.

Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.
 
Je, ball control anayo au huwa anakimbia tu ilimradi ameenda mbele? Hata mimi mwanzoni nilikuwaga namuona bonge la mchezaji, ila baadae nikagundua ni kweli ana nguvu na mbio ila control na umaliziaji wake wa krosi siyo mzuri!
 
Hivyo vinatibika mkuu kwa walimu wazuri wa soka ......ila namkubali pia ni beki mzuri wa kulia na ana spirit sana ya kupambana safi..
 
Usimtathimini kwenye mechi yenye presha kama hiyo, Jana hata Kaseke alijitutumua kama Kevin De Bruyne.

Ukitaka kumfuatilia angalie akicheza na level zao kama kagera sugar, coastal union n.k

Utakuja kuamini ni mchezaji wa kawaida sana huyo.
Kijiri binafsi nimemfatilia mechi nyingi tu dogo yuko vzr , anza kumfanyia scouting
 
Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.

Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.

Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.
Mbio na nguvu pekee havitoshi tena kwa kukamia mechi.... Aongeze maarifa na ufundi atafika levo za hao unaejaribu kumfananisha nae
 
Back
Top Bottom