Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Wewe umechoka kula ugali,imeandikwa msiwaguse masiha wa Bwana,ukiambiwa useme utapeli wa Mwakasege utasema ulitapeliwa nini?gusa pengine usiguse watumishi wa Mungu wa kweli.
Acha upoyoyo wako kawatishe wajinga
 
Alishajua waumini wake pamoja na usomi wao ni manyumbu
 
Mimi tangu ile issue ya Niffer nikamshtukia. Hii ya gesi ndio kajionesha ni mtu wa aina gani.
 
Kwenye drama zote hizo naweza kumtetea Mwakasege tu. Nimemfahamu over 20 years na Mwakasege Hana kanisa.
Mi Pia Mwakasege nimemfahamu kitambo sana. Hana kanisa na sijawahi ona utapeli wake. Ila kuna watu wanabwatuka tu kutaja hovyo majina y’a watumishi wa Mungu
 
Mi Pia Mwakasege nimemfahamu kitambo sana. Hana kanisa na sijawahi ona utapeli wake. Ila kuna watu wanabwatuka tu kutaja hovyo majina y’a watumishi wa Mungu
Kuna watumishi matapeli ni kweli na Kuna Kuna watumishi wa Ukweli na hiyo pia ni Ukweli. Kwenye kundi la watumishi wa Ukweli kwa hapa Tanzania Mwl Mwakasege ndo anaongoza
 
Movie inapatikana plat form ipi? Nimejaribu kuitafuta onstream sijaiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…