Chadema wanafurahia posho na lile fungu warakalopata baada ya uchaguzi maana wanaweza kupata wabunge wengi na kupata kura zaidi zitakazowaongezea viti maalum ila kwenda Ikulu kwa nguvu za umma sio rahisi...maana hizi nguvu za umma hazikushawishiwa kujiandikisha...uko mikoani
Mkuu, watu wamejiandikisha Sana. Hiki kipindi Ni tofauti kabiss Na 1995, watu wameamua,wamesimama muda Mrefu kwenye foleni Ili Tu wajiandikishe. Sasa hivi wanachofanya CCM kupitia NEC Ni kuwahujumu watu hasa vijana Ili wakose sifa ya kupiga kura.
Na ww unaonekana Ni mmoja Kati ya waliotumwa kupima kina cha bahari kwa njiti ya kiberiti.
Je, ishawahi kutokea Tz watu wakapigana sababu ya foleni ya kujiandikisha??? Jibu Ni hapana but this time it has happened.
Watu wametumia ubunifu wa kila aina Ili Tu wajiandikishe " kumbuka wale wadada wa maboksi dar-waliojifanya Ni wajawazito. So stop fooling yourself comrade.