Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,808
- 6,500
Nimejaribu kujiuliza sana na ninashindwa kupata jibu!
Lowassa ninayemuona na kumsikiliza kwa sasa sio yule ambaye alikuwa akiongea anakuvuta katika hisia kumsikiliza.
Lowassa wa zamani alikuwa anaweza kutembea kwa miguu kwa muda mrefu bila kuchoka katika Jiji la Dar-es-salaam kukagua usafi wa mazingira.
Lowassa wa sasa anatafuta kwa shida hata maneno ya kuongea na akiongea hawezi kupangilia maneno yake achilia mbali sauti iliyofifia.
Lowassa wa sasa hawezi hata kutembea vizuri achilia mbali kusimama kwa muda mrefu.
Lowassa wa sasa hawezi hata kubeba chupa ya maji ya kunywa kwa muda mrefu bila kuhitaji msaada.
Lowassa wa zamani ameenda wapi?
Nini kimemtokea Lowassa wa sasa?
Ninamtafuta Lowassa wa kuanzia mwaka wa 2008 kurudi nyuma!
Huyu ndiye Lowassa niliyekuwa ninamfahamu ambaye alikuwa ni mahili katika art of communicating!

Last edited by a moderator: