Elections 2015 Huyu siyo Edward Lowassa ninayemfahamu kabla ya kujiuzulu 2008!

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
6,500
Nimejaribu kujiuliza sana na ninashindwa kupata jibu!

Lowassa ninayemuona na kumsikiliza kwa sasa sio yule ambaye alikuwa akiongea anakuvuta katika hisia kumsikiliza.

Lowassa wa zamani alikuwa anaweza kutembea kwa miguu kwa muda mrefu bila kuchoka katika Jiji la Dar-es-salaam kukagua usafi wa mazingira.

Lowassa wa sasa anatafuta kwa shida hata maneno ya kuongea na akiongea hawezi kupangilia maneno yake achilia mbali sauti iliyofifia.

Lowassa wa sasa hawezi hata kutembea vizuri achilia mbali kusimama kwa muda mrefu.

Lowassa wa sasa hawezi hata kubeba chupa ya maji ya kunywa kwa muda mrefu bila kuhitaji msaada.

Lowassa wa zamani ameenda wapi?

Nini kimemtokea Lowassa wa sasa?

Ninamtafuta Lowassa wa kuanzia mwaka wa 2008 kurudi nyuma!


Huyu ndiye Lowassa niliyekuwa ninamfahamu ambaye alikuwa ni mahili katika art of communicating!
 
Last edited by a moderator:
Mlivyokuwa mnamnyanyasa ccm na kumfanyia kila aina ya hila ulitarajia abaki vilevile?

Kumbuka amenyamaza muda mrefu bila kujibu shutuma na wakina nape na mukama wakati wakizunguka nchi nzima kumtukana.lazima pia ukumbuke umri umeenda na kama ni kujenga hoja atajenga tu ukishampa kura yako.its the matter of time
 
Haamini kama amepokelewa ukawa ndo maana bado anatetemeka. Hebu tumsikilizie
 
Sasa ninaanza kuelewa kweli "fimbo ya mbali haiuwi nyoka." Huu msemo nimeutafakari sana kwani unaelekea kuwa na maana kubwa kwetu watanzania kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.
 
Chadema wanafurahia posho na lile fungu warakalopata baada ya uchaguzi maana wanaweza kupata wabunge wengi na kupata kura zaidi zitakazowaongezea viti maalum ila kwenda Ikulu kwa nguvu za umma sio rahisi...maana hizi nguvu za umma hazikushawishiwa kujiandikisha...uko mikoani
 
Akiwa rais vyote vitarudi...
Unakumbuka Kikwete wa zamani alivokuwa anadondoka kifafa hovyo hovyo...???

aisee hapo umempa neno zito kamanda, umempa zake, alafu afahamu kampeni bado hazijaanza haruhusiwi kupiga kampeni itamletea shida.
 
Anadungwa sindano after evry 6 hrs. Watanzania wanajiandaa igeuza ikulu ICU. MACHINGA,MAMA NTILIE ,BODABODA. MACHINGA, MAMA NTILIE, BODABDA.!!
 
Nadhani pia ni kuwa na haki na ukweli. Inaweza kuwa ni umri au udhaifu fulani wa kimwili. Ndio maana nawashangaia wanaosema ati Lowassa hajui kuzungumza; Lowassa alikuwa ni mzungumzaji mzuri sana na anasisimua ukimsikiliza. Sasa hivi bila ya shaka siyo sawa na 2008. Lakini la maana ni kuweza kusikiliza anasema nini hasa kuliko jinsi gani anakisema anachosema. Kama tunataka watu wanaoweza kupigisha stori bila kujali wanasema nini tunaweza kupata tatizo.
 
Anadungwa sindano after evry 6 hrs. Watanzania wanajiandaa igeuza ikulu ICU. MACHINGA,MAMA NTILIE ,BODABODA. MACHINGA, MAMA NTILIE, BODABDA.!!

umemsahau magufuli ambaye sasa hivi hajielewi hajui kama yeye ni mgombea
Jamani Kati ya.JOHN POMBE MAGUFULI na KIKWTE nani ni mgombea wa uraisi kwani magufuli anamnadi na kumsifia Kikwete,sana ... inawezekana magufuli hajui kama yeye ni mgombea urais na anajua kikwete anaendelea kutetea kiti chake. hivyo anamnadi kwa wananch
 
Hata kikwete tuliambiwa ana umwa ule ugonjwa mkuu hiyo ilikuwa 2005, mpaka leo yupo pamoja na kuanguka anguka mara mbili.
 
Lowasa wa zamani hakutopea kwa ufisadi ila Lowasa wa sasa ufisadi ndo mtaji wake wa kisiasa
 
Nimeangalia hiyo video nimepata uchungu sana,huyu ndio alitakiwa awe Waziri mkuu toka kitambo hawa akina Pinda ni.kulia lia tu hawana maono ya Mbali
 
Back
Top Bottom