Kwani shida nini mkuu kuna thread yako imepotea?Naomba aje kwangu kujitambulisha nataka ni mjue,napia ajibu maswali yangu.kwann yeye tu kila thread yumo?
Yupo kwenye mfumo wa mr Melo 😂😂Naomba aje kwangu kujitambulisha nataka ni mjue,napia ajibu maswali yangu.kwann yeye tu kila thread yumo?
Bwahaahaha mta guess sana huu mwaka!Atakuwa Gen Z flani kamechangamka hivi, na yule mwenzie .......
Wewe umejuaje kama kila thread yupo?Naomba aje kwangu kujitambulisha nataka ni mjue,napia ajibu maswali yangu.kwann yeye tu kila thread yumo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani umeshindwa kabisa kumuapproach mwenyewe umeamua kumfungulia uzi?
Wewe unasumbuliwa na udomo zege sio bure
Askari mtandaoJobless
ChaiNi pisi flani kali sana ambayo kila memba mpya lazima aiibukie
Yani mi mwenyewe nimeshangaa sana ye kimemkera nini au ana mchechetoBwahaahaha mta guess sana huu mwaka!
Mm nakwambia pisi, mtu haringi just for no reason. Lazima awe equipped and endowed with enormous beautyChai
Pia kuna joseverestKuna jamaa alikua anaitwa Tyta hujamkuta
Humu watu wanafatilia maisha ya watu kuliko hata kusafisha mitura yao!Yani mi mwenyewe nimeshangaa sana ye kimemkera nini au ana mchecheto
Akichelewa sana utamuona kwenye comment ya piliPia kuna joseverest
Kupaisha watu ndio sitaweza!Askari mtandao
Jichanganye akudake
Chai.Mleta mada ungekuwa kipindi cha Joseverest yeye kila uzi wowote wa jf lazima comment yake iwe ya kwanza , waja wakamkalia kooni mpaka akaacha ku comment comment hovyo.