Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,587
- 60,997
ni robot
Ndio ujue kuna watu kazi yao sio kuchangia ila Kuangalia nani amechangia!Mfano mimi nikiingia JF hua naingia kwenye Trending,naweza kuchangia mada bila hata kujua nipo jukwaa gani,
Hata majukwaa ya JF hua siyajui sana coz toka nimejiunga JF hua naingia kwenye Trending moja kwa moja,
Sasa hapo mtu anaweza kuona nipo kwenye kila jukwaa,wakati mimi mwenyewe wala siyajui majukwaa yenyewe.
Kama sio basi eleza unawezaje kuwa kwenye nyuzi 12 kwa wakati mmojaSo kweli..
Huu mwaka wataisoma! Na ndio wananifanya niendelee kuwepo humu😎Ila haya mambo bhana, Hua hayana muda kabisa.
Kila wakati anatokea mtu wa kutrend, kumbe ndo mana kuna mashoga humu wanamchukia Seran 😂 mana n wakati wake kutrend JF 😎
Inatokea tu mkuu si unajua ukiwa huna kazi!Kama sio basi eleza unawezaje kuwa kwenye nyuzi 12 kwa wakati mmoja
Wanyooshe mamaaaaaa 🔥Huu mwaka wataisoma! Na ndio wananifanya niendelee kuwepo humu😎
AiseeehSeran sio mtu ni taasisi, kuna vitengo vingi, inategemea ni kitengo gani
Kabla yake alikuwepo nani! ?Ila haya mambo bhana, Hua hayana muda kabisa.
Kila wakati anatokea mtu wa kutrend, kumbe ndo mana kuna mashoga humu wanamchukia Seran 😂 mana n wakati wake kutrend JF 😎
Nakupenda wewe pamoja na watoto wako 😍😍Umelewa nimekuacha!😅
Wengi Sana mkuu, pitia comments hapa utaona wametajwa baadhiKabla yake alikuwepo nani! ?
Kuna bwege amekaa pembeni yangu, wakati najibu hapa akawa anakodolea mimacho yake. Ikabidi nifute nilichokuwa naandikaWengi Sana mkuu, pitia comments hapa utaona wametajwa baadhi
Wanatamani wakuone mwingine yuko tumboni karusha teke huyo!!Nakupenda wewe pamoja na watoto wako 😍😍
Umenikumbusha kitu 😘😘Wanatamani wakuone mwingine yuko tumboni karusha teke huyo!!
Sio kweliNaomba aje kwangu kujitambulisha nataka ni mjue,napia ajibu maswali yangu.kwann yeye tu kila thread yumo?
Ungeanza kuangalia x ili wote muone aibu 😎Kuna bwege amekaa pembeni yangu, wakati najibu hapa akawa anakodolea mimacho yake. Ikabidi nifute nilichokuwa naandika
😂😂Humu watu wanafatilia maisha ya watu kuliko hata kusafisha mitura yao!