Huyu Seran kila thread yupo

Huyu Seran kila thread yupo

Ana maisha huyo dada, huwezi kua online na bando la kuunga UNGA, nilikuwaga naunga mkono Kwa Nini mtu ashinde jf siku nzima, baadae nika gundua wanao lalamika hawana hela ya bando, ana comment anakimbilia kuzima data
 
Hmm wifi za majirani hizi zisiwatishe!
 
Hmm wifi za majirani hizi zisiwatishe!
Heeee we kigogo, majirani zako wana wifi kumbe hukai chanika dada, unaishi sehemu zenye wadhifa hongera, kuwa na maisha si mpaka uwe tajiri mkubwa, mfano min mee, kaajiri vijana mia Moja, unadhani mchezo? Nilifanya kazi Zanzibar kwenye hotel za maboss kubwa hatufiki hata 25 lakini mshahara tu mbinde? Mnakaa Hadi miezi mitatu hujalipwa, Sasa ni matajiri gani hao si vigogo hewa
 
Hmm sio kweli wifi sikuhizi zimesambaa kila kona, watu wanachanga wananunua mabando! Wala sio Utajiri!

Umenikumbusha hivi ameshaamka tajiri min ngoja nimchungulie huko mwee!🤣
 
huja nielewa dada, utajiri una level, mfano bakhresa huyu ni tajiri kwetu akienda marekani anaweza pigwa makofi na vijana wadogo, wakina mark
 
Duhh kumbe!
Nenda kaangalie matajiri wa vijijini, unashangaa, yani kujenga NYUMBA ya block na kuweka msauzi tayari ni tajiri, hajui hata gari zenu hizi mnazo shindania, ila Kwa wanakijiji wanamuona ye ana afadhali, ni don kwao, na anawasaidia mia, mia mbili
 
Duhh!
 
Hivi karibuni namuoa seran,tutafunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu napenda kuwaarika wana jf wote.hv karibun seran atatangaza tarehe ya ndoa yetu.
 
Back
Top Bottom