Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,405
- 191,534
Hahahahahahha kweli lazma kuna namna😅!😁😁😁 si mlisema ukitaka upendo wa dhati mtafute wa kwako ata akiwa choka mbaya utamtengeneza awe kama beyonce,
sema nini bosi hawa waganga wao levo zaidi ya mganga wa UWOYA.
Mwanamke unamtengeneza ni sawa kabisa sema awe na rich mindset hata kama hana sio hawa waganga njaa ambaye mda wote anawaza kuhudumiwa. Hajiongezi yani kabisa hata kuonesha she is trying kupambana na hali!