• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Huyu Rose Lyimo TRA ni nani hapo Kinondoni, anabadilisha kadi za watu za magari akionesha kadi feki za TRA na NIDA

BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
Kwa hii vid inayoendelea kusambaa mitandaoni ni aibu kwa taifa letu

Tunaomba mh kamishna mkuu tra/waziri simba chawene muingilie kati

Kijana akwiline marandu ametapeliwa lori lake ..mhalifu huyo amendda pale kinondoni akaonyesha kadi feki ya gari kadi feki ya nida

Ajabu huyu dada ndie anasemwa kushiriki tukio hili la uhamisho.....

Baada ya kushtuka akaenda pale kinondoni akatoa kadi halisi ya gari na na id yake origin ya nida

Kadi iliopo tra kinondon inasoma amepta kadi ya nida may mwakajana wakati origin amepta kadi nov..

Pamoja nanhaya yote manager wa tra alikiri wameingizwa chaka na akamwomba huyu bw marandu aende watampigia na wataifanyia kazi kwa ku cancel docs zote
Ajabu huyu.mwizi amelipia mpaka tra transfer aisee

Hili jambo alikufanyika.mpaka sasa.mh waziri simba chawene hii n uhalifu tunaomba msaada wapolisi kusimamia hili jambo

Inavyoonekana anasema.ameshafungua kesi osterbayamepewa askari anaitwa rehema wakataka 150'000 wakamkamate mhalifu badae akasema atawapa
Wakampigia keshoyake wamegoma wanataka laki nne 400'000 polisi husika

Dah hii inaumiza sana huku umepigwa bado unatakiwa kutoa hela zote hizi

Mh kamishna mkuu wakati muafaka tusafishe hao watu wanaoshirikiana na wahalifu tra

Binafsi napeleka vid kwa wah wangu kadhaa itamfikia soon mh g simba chawene ...

Jamboo hili tukilipuuzia litatujia na sisi unashangaa uko mataa ubungo unaambiwa toka nje ya gariyako kumbe wameshabadili.kadi zamani

Naamini itakuwa fundishoo kw a wahuni wotee waliohusikae
 
Attachments:

W

WIGWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
865
Points
1,000
W

WIGWA

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2019
865 1,000
nenda makao makuu tra utoe vielelezo mkuu
 
Baba Joseph17

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
8,140
Points
2,000
Baba Joseph17

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
8,140 2,000
Usipende kumlaumu mtu pasipokujua mazingira yake ya kazi yakoje!! Tatizo mifumo ya serikali mingi haingiliani, Kadi ya NIDA mtu wa TRA hawezi kuverify kama ni Og, kama watu wanatengeneza vyeti feki vya Academics na vinakubaliwa katika mamlaka za umma ndo ujue kuwa watu ni wajanja sana
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
Usipende kumlaumu mtu pasipokujua mazingira yake ya kazi yakoje!! Tatizo mifumo ya serikali mingi haingiliani, Kadi ya NIDA mtu wa TRA hawezi kuverify kama ni Og, kama watu wanatengeneza vyeti feki vya Academics na vinakubaliwa katika mamlaka za umma ndo ujue kuwa watu ni wajanja sana
Basi na TRA KADI NALO N SHIDA MKUU
BASI TUKO KATIKA HALI.MBAYA KAMA.ATUWEZI JUA KADI YA TRA N FEKI.AMA.ORIGIN
 
AbaMukulu

AbaMukulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Messages
1,592
Points
2,000
AbaMukulu

AbaMukulu

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2018
1,592 2,000
Kamishna litamfikia hili
 
Rawasha

Rawasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
1,073
Points
2,000
Rawasha

Rawasha

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
1,073 2,000
Kila taasisi ina taratibu zake. Zifuate upate haki yako. Usichafue watu unaweza shtakiwa na sijui kama una pesa ya kulipa fidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
4,660
Points
2,000
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
4,660 2,000
Mkuu nakupa pole kwanza, lakini huu mwandiko niwe mkweli tu sijaelewa zaidi ya kuhisia tu kuwa kuna gari limeibiwa na mwenye mali alipoenda polis wamemtaka rushwa, kwa TRA nimetoka kapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
Wachagga kwa utapeli hamjambo kabisa
Wamekutanaa awenyewe kw a wenyeewee ukisikia VID JAMAA katajaa lyimo marandu MOSHA WANATAKA kumpigaa kwikwi ashukuruu molaaa ajakutanaa na kina MASSAWE..MOSHI/LYERUU NK WE ANGEZAA MAPACHA
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
Mkuu nakupa pole kwanza, lakini huu mwandiko niwe mkweli tu sijaelewa zaidi ya kuhisia tu kuwa kuna gari limeibiwa na mwenye mali alipoenda polis wamemtaka rushwa, kwa TRA nimetoka kapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mpwaaa umehisii kituulichpkiona uwiii hayooumeyapatwapiisaaaa kwikwi
 
Baba Joseph17

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
8,140
Points
2,000
Baba Joseph17

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
8,140 2,000
Basi na TRA KADI NALO N SHIDA MKUU
BASI TUKO KATIKA HALI.MBAYA KAMA.ATUWEZI JUA KADI YA TRA N FEKI.AMA.ORIGIN
Unaweza ukakuta Mashine za Barcorde scanner zipo chache sana katika maofisi ya Umma haswa TRA hapo ni Dar kwenye uso wa nchi je mikoani huko hali ikoje
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
Unaweza ukakuta Mashine za Barcorde scanner zipo chache sana katika maofisi ya Umma haswa TRA hapo ni Dar kwenye uso wa nchi je mikoani huko hali ikoje
Babaaaaa swalii languu kuuuu kwa Dada rose

Hivi anawezakwenda MTU akapeleka docs amenunua GARI kwamtu BILA.kuwasiliana nae ama.KUMWONA
Pili tra imejiandaae kuhakikisha WANANCHI wakosalama na MAGARI YAO kama MTU anaweza peleka docs za tra fake na WALA accept
Tunakazi kubwaa sana mbelee
Wachaa hilijamboo liwashe moto tupate somo
 
Baba Joseph17

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
8,140
Points
2,000
Baba Joseph17

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
8,140 2,000
Babaaaaa swalii languu kuuuu kwa Dada rose

Hivi anawezakwenda MTU akapeleka docs amenunua GARI kwamtu BILA.kuwasiliana nae ama.KUMWONA
Pili tra imejiandaae kuhakikisha WANANCHI wakosalama na MAGARI YAO kama MTU anaweza peleka docs za tra fake na WALA accept
Tunakazi kubwaa sana mbelee
Wachaa hilijamboo liwashe moto tupate somo
Mazoea ya kazi ni mabaya sana haswa unapokuwa ofisi ambayo iko bize maana unaamini doc ikiletwa mezani na wasaidizi wako inakuwa clean, nimeshashuhudia mambo ya kuchomekeana doc makazini, hafu ujue kuna mlolongo wa usumbufu kwenye transfer haswa Magari, hiyo imepelekea vijana ambao wanajulikana huko TRA kushirikiana na watumishi na kufanya mambo shortcuts. Mifumo ya serikali inasababisha ishu kama hizo zitokee
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
Mazoea ya kazi ni mabaya sana haswa unapokuwa ofisi ambayo iko bize maana unaamini doc ikiletwa mezani na wasaidizi wako inakuwa clean, nimeshashuhudia mambo ya kuchomekeana doc makazini, hafu ujue kuna mlolongo wa usumbufu kwenye transfer haswa Magari, hiyo imepelekea vijana ambao wanajulikana huko TRA kushirikiana na watumishi na kufanya mambo shortcuts. Mifumo ya serikali inasababisha ishu kama hizo zitokee
KAKAAA UKO TRA UMEJUAJE KAWATAJA WANAITWA VISHOKA NDIOO WALIOSHIRIKIANA NA HUYO DADA
NA WANAJULIKANA
1-..MARANDU
2..TADEUS MOSHA
NA ANA USHAHIDI N MAKONKI WA HIO OFISI AISEE KAZI TUNAYOO SANA
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
20,873
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
20,873 2,000
Mazoea ya kazi ni mabaya sana haswa unapokuwa ofisi ambayo iko bize maana unaamini doc ikiletwa mezani na wasaidizi wako inakuwa clean, nimeshashuhudia mambo ya kuchomekeana doc makazini, hafu ujue kuna mlolongo wa usumbufu kwenye transfer haswa Magari, hiyo imepelekea vijana ambao wanajulikana huko TRA kushirikiana na watumishi na kufanya mambo shortcuts. Mifumo ya serikali inasababisha ishu kama hizo zitokee
JK alichomekewa ambulance
 
Forum statistics

Threads 1,404,598
Members 531,671
Posts 34,458,713
Top