Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,871
- 29,057
Tofautisha kati ya KEJELI na UKWELI kama aliongea aliyosema mtoa mada basi ile ni Kejeli na sio UkweliHapo hakuna tusi zaidi ya ukweli.
Tatizo Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.
Najua umechukualia hayo maneno kama yalivyo ila nakushauri kaa chini utafakari yeye alimaanish nini.
*ZINGATIA*
kama ww ni mwanaume ulivaa joho [emoji310] na bado upo nyumban.
Believe me my braza
lile ni dera.
It's easy to say that when money is no longer a problem.Kwa maana nyingine mtoto wa kiume kama umemaliza chuo na bado unakaa nyumbani bila kazi yeyote ya maana ukiwa unasubiri ajira basi wewe hamnazo.
Kheee.... kwa hiyo hilo povu kisa limetajwa dela?Clouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
Mtoa mada kapanic bure ,mimi nilisikiza mwanzo mpaka.mwisho na huyo mtangazaji alikuwa hana nia yeyote ya kukejeli,kwa maana nyingine aliongea kama kibwagizo tu,tena nakumbuka kabisa alianza kwa kusema "nakia wanasema eti........"Tofautisha kati ya KEJELI na UKWELI kama aliongea aliyosema mtoa mada basi ile ni Kejeli na sio Ukweli
naona jiwe limerushwa gizaniClouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
Faiza foxy we unakazi gani?Ukisikia puu ujuwe limempata.
Msamehe bure.Clouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
Faiza foxy we unakazi gani?
Kilazaa wewe
Mkishashiba huwa hamjui kuna wenzenu wana njaa.Hapo hakuna tusi zaidi ya ukweli.
Tatizo Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.
Najua umechukualia hayo maneno kama yalivyo ila nakushauri kaa chini utafakari yeye alimaanish nini.
*ZINGATIA*
kama ww ni mwanaume ulivaa joho [emoji310] na bado upo nyumban.
Believe me my braza
lile ni dera.
Waongopee hao haoNimejiajiri, nnalea wajukuu.
Dogo hilo?
Mtoa mada kapanic bure ,mimi nilisikiza mwanzo mpaka.mwisho na huyo mtangazaji alikuwa hana nia yeyote ya kukejeli,kwa maana nyingine aliongea kama kibwagizo tu,tena nakumbuka kabisa alianza kwa kusema "nakia wanasema eti........"