Huyu Pogba wetu ni hasara tu

pogba yeye ndo anatoa maelekezo kwa benchi la ufundi, yaan kazi kwelikweli
 
Ni vigumu kuelewa wakati gani Pogba anazomewa au kushangiliwa. Yote ni makelele tu!
 
Mimi huwa ananishangaza anapojipiga chenga mwenyewe, akinyang'anywa mpira anacheza rafu. Mbaya zaidi hata refa anajifanya hazioni rafu za Pogba.

Mpaka sasa hajafunga anasema tumuombee!!!
Pumbavu zake
 
Hifikirii kwa nini Ferguson kocha bora alimgawa bure ??
 
nashangaa hata wana manchesta wanataman apige hata assist tu wajidai lkn ndo kwanza ananawa mpiraaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Baada ya mswada wa habari kusainiwa...tutapost sana hizi porojo.
 
pogba hatokei uwanjani halafu yeye ndio anadai pointi tatu!
 
Dah ngoja nipite zangu. tusubiri dirisha dogo la usajili..
 
Pogba anakuza uchumi kwa mwendokasi. Waulize TRA na watakwimu watakuhakikishia uchumi umezidi kuimarika, wanaolalamikia maisha wanatakiwa wajitetemeshe.
Mayala oyeeeee. Mayala kwa kisukuma maana yake ni njaaa.
Mayala oyeeee, mayala oyeeee. Tanzania ya viwanda oyeeee. Kusoma namba oyeeee.
 
UMEAMUA KUWEKA MAMBO HADHARANI [emoji14] [emoji14]
 
Man ya POGBA haiwezi kushuka daraja kwa sababu zifuatazo:-
1.huyu mchezaji amezuia timu washindani wasifanye mazoezi hadi 2020 ila MAN U wanaendelea na mazoezi
2.man u hulazimisha refa achezeshe wanavyotaka wao
 
Pogba buana! nina uhakika pogba ni kila/za daraja la kwanza.. yafaa tuingie uwanjani, tumpopoe mawe atuondolee shobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…