Huyu Pogba wetu ni hasara tu

Huyu Pogba wetu ni hasara tu

Utaanzaje wakati kila shabiki anaogopa tena kuanzia wa chini kabisa mpaka yule mwenye hisa.......labda jaribuni kuingia barabarani ila mkumbuke mnaweza fungiwa kuingia uwanjani pia
Wapi Kiranga haya ndo mambo yako ina maana umesusa jumla.......umeondoka mchambuzi makini kabisa......
Uoga ndio unaowa-cost wengi, ndio maana wanabebeshwa mizigo kibao.

Kiranga haonekani JF Siku hizi,....yeye anakuja kusoma na kusepa.Ukiangalia profile yake utaona last seen ni moment ago lakini hajapost chochote tangu Nov.1.
 
Halafu POGBA bhana, analalamika kwamba kocha ameficha wachezaji wazuri. Ili kumkomoa ataleta wafaransa wenzake ndani ya siku mbili ili hao wachezaji alio waficha wakose namba..
 
Mlichanga ngapi ngapi ili asajiliwe?
Kwani michango ya usajili huwa inawekwa wazi? Tunachangia kwenye kapu kuu, kamati ya usajili ndio inaratibu mpango mzima.
 
HAMNA POGBA YUKO FRESH TU SEMA WABONGO TUNABEBEWA SANA AKILI ZETU NA TUNATUMIKA KWA KUDANGANYWA NA MAKOCHA WA TIMU PINZANI KAMA HATUKO TIMAMU. KWA KIFUPI MAKOCHA NA VIONGOZI WA TIMU PINZANI WAMESHINDWA KUFUNDISHA NA KUENDESHA SOKA LA UKWELI,WAMEBAKI KUFANYA POROJO TU WANAPOKUWA HUKO CNN,SKY NEWS,BBC NK! ILA POGBA KIWANGO BADO KIPO CHA KUELEWEKA TU. HALAFU YATUPASA TUMPE JAPO HATA MIAKA MIWILI HUYU POGBA!!
Pogba anazingua!
shida kubwa hataki team work, anataka apige chenga team yote ya upinzani!
halafu mechi ngumu anaziogopa, sasa ubingwa unapataje kwa kukataa kucheza mechi ngumu!
Tazama point muhimu ngapi tumepoteza
 
Mimi lawama zangu za kwanza ni kwa Fugason ambaye kwa ubabe wake hujifanya muamuzi wa masuala nyeti ya Nchi. Mara Katiba pendekezwa ya FIFA kaivuruga, mara kaingilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa Scotland. Nasikia alimpigia sana chapuo huyu Pogba na kudiriki kuwatukana timu pinzani kuwa malof. Nahisi ndiye aliyeshinikiza asajiliwe pamoja na kwamba Morhinyo alikuwa anamtaka yule mwingine aliyekuwa rafiki wa mtawala Libya.

Hoja yangu kubwa ni kwamba sasa niwakati wa timu zote za Premier Leage kushinikiza FIFA ibadili taratibu zake hasa utaratibu mzima wa usajili, kuanzia kuandikisha mashabiki, hadi kusajili. Wadai kamati huru isiyoingiliwa. Lakini pia taratibu za kupata marefa na ma raise men ili kuhakikisha akina Pogba hawaingilii katika kutekeleza wajibu wao. Hivi sasa Poga ana uwezo wa kuteua refa, juzi akateua raise woman kaenda kuwa kinara wa ma raise men. Yaani hata Kocha wa Asernal akiwa na swali kwa kocha wa Man U, utaona raise woman ananyoosha kibendera kuwa hilo si swali. Katika mazingira kama haya usitegemee timu kama Man city, Chelsie, Liverpol Asernal zitaweza cheza mpira, achana na kufunga goli hata la mkono!

Kuhusu mapato, nasikia baada ya kukusanya madeni ya mauzo ya jezi zilizouzwa china na kwingineko kabla Pogba haja sajiliwa, sasa hivi hakuna mauzo mapya kabisa. Timu iko hoi, mashabiki hoi na raia woote wa England hoi.
Kibaya zaidi, Ikitokea mchezaji wa timu pinzani akaota ndoto kuwa kwa utendaji huu Pogba anaweza asimalize mkataba wake, sasa hivi anashauriwa akae kimya na ndoto yake. Akijaribu tu kumsimulia rafiki yake kuhusu ndoto hiyo, asahau kuonekana katika viwanja, ataishia Gwantanamo!, Kweli nawaambia!
 
Lakini pia akina Gigs waliishtukia Man u mapemaaa! wakajiondoa. waliona imepoteza mwelekeo.
 
Wakuu yule raizi woman mwenye nguvu na mwenyekadi nyekundu tu kinyume na sheria 17 ya FIFA ambeye amewekwa na maniyu halafu chelsea wakacheza na maniyu na akatoa streit red kad kwa wachezaji wa chelsea.nauliza ni wachezaji wangapi walipewa red kad?namkumbuka mmoja tu hazad wengine nimewasahau.nakumbuka chelsea waliapa kutotia tim uwanjani iwapo chama cha FA wataendelea kumpanga raizi woman anayeonekana ananguvu kuliko mwamzi wa kati
 
Mimi lawama zangu za kwanza ni kwa Fugason ambaye kwa ubabe wake hujifanya muamuzi wa masuala nyeti ya Nchi. Mara Katiba pendekezwa ya FIFA kaivuruga, mara kaingilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa Scotland. Nasikia alimpigia sana chapuo huyu Pogba na kudiriki kuwatukana timu pinzani kuwa malof. Nahisi ndiye aliyeshinikiza asajiliwe pamoja na kwamba Morhinyo alikuwa anamtaka yule mwingine aliyekuwa rafiki wa mtawala Libya.

Hoja yangu kubwa ni kwamba sasa niwakati wa timu zote za Premier Leage kushinikiza FIFA ibadili taratibu zake hasa utaratibu mzima wa usajili, kuanzia kuandikisha mashabiki, hadi kusajili. Wadai kamati huru isiyoingiliwa. Lakini pia taratibu za kupata marefa na ma raise men ili kuhakikisha akina Pogba hawaingilii katika kutekeleza wajibu wao. Hivi sasa Poga ana uwezo wa kuteua refa, juzi akateua raise woman kaenda kuwa kinara wa ma raise men. Yaani hata Kocha wa Asernal akiwa na swali kwa kocha wa Man U, utaona raise woman ananyoosha kibendera kuwa hilo si swali. Katika mazingira kama haya usitegemee timu kama Man city, Chelsie, Liverpol Asernal zitaweza cheza mpira, achana na kufunga goli hata la mkono!

Kuhusu mapato, nasikia baada ya kukusanya madeni ya mauzo ya jezi zilizouzwa china na kwingineko kabla Pogba haja sajiliwa, sasa hivi hakuna mauzo mapya kabisa. Timu iko hoi, mashabiki hoi na raia woote wa England hoi.
Kibaya zaidi, Ikitokea mchezaji wa timu pinzani akaota ndoto kuwa kwa utendaji huu Pogba anaweza asimalize mkataba wake, sasa hivi anashauriwa akae kimya na ndoto yake. Akijaribu tu kumsimulia rafiki yake kuhusu ndoto hiyo, asahau kuonekana katika viwanja, ataishia Gwantanamo!, Kweli nawaambia!
Pogba huyuhuyu wa maniyu ndo kafanya yote haya?siamini
 
Kumbuka alipokuwa juve alifanya vizuri japo alikuwa mbabe na hakutegemea kusajiliwa na timu hii tatizo ni ubabe wa yule mzee fagason
yani bora wangemsajili ngolo kante timu ingelifanya vizur na Mashabiki wake wangefurahi hadi ligi inakwisha.lakini sasa imani juu yake imepotea kabisaaa
 
Mimi lawama zangu za kwanza ni kwa Fugason ambaye kwa ubabe wake hujifanya muamuzi wa masuala nyeti ya Nchi. Mara Katiba pendekezwa ya FIFA kaivuruga, mara kaingilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa Scotland. Nasikia alimpigia sana chapuo huyu Pogba na kudiriki kuwatukana timu pinzani kuwa malof. Nahisi ndiye aliyeshinikiza asajiliwe pamoja na kwamba Morhinyo alikuwa anamtaka yule mwingine aliyekuwa rafiki wa mtawala Libya.

Hoja yangu kubwa ni kwamba sasa niwakati wa timu zote za Premier Leage kushinikiza FIFA ibadili taratibu zake hasa utaratibu mzima wa usajili, kuanzia kuandikisha mashabiki, hadi kusajili. Wadai kamati huru isiyoingiliwa. Lakini pia taratibu za kupata marefa na ma raise men ili kuhakikisha akina Pogba hawaingilii katika kutekeleza wajibu wao. Hivi sasa Poga ana uwezo wa kuteua refa, juzi akateua raise woman kaenda kuwa kinara wa ma raise men. Yaani hata Kocha wa Asernal akiwa na swali kwa kocha wa Man U, utaona raise woman ananyoosha kibendera kuwa hilo si swali. Katika mazingira kama haya usitegemee timu kama Man city, Chelsie, Liverpol Asernal zitaweza cheza mpira, achana na kufunga goli hata la mkono!

Kuhusu mapato, nasikia baada ya kukusanya madeni ya mauzo ya jezi zilizouzwa china na kwingineko kabla Pogba haja sajiliwa, sasa hivi hakuna mauzo mapya kabisa. Timu iko hoi, mashabiki hoi na raia woote wa England hoi.
Kibaya zaidi, Ikitokea mchezaji wa timu pinzani akaota ndoto kuwa kwa utendaji huu Pogba anaweza asimalize mkataba wake, sasa hivi anashauriwa akae kimya na ndoto yake. Akijaribu tu kumsimulia rafiki yake kuhusu ndoto hiyo, asahau kuonekana katika viwanja, ataishia Gwantanamo!, Kweli nawaambia!
Hahaha kiongozi umejua sana kuunganisha dots zako na uzi husika nmekupa like yangu
 
POGBA HONGERA POGBA NASEMA TENA HONGERA ZIKUFIKIE POPOTE ULIPO

Wewe ulitumia usanii kupata usajili Na umefanikiwa.
Cheki wanatimu wakiumia uwanjan Panadol hawapati wakati enzi za HB tulienda tibiwa nje kwa gharama zake

pogba wewe Ni huna mfano umesema eti timu utafungua viwanda Kila Kona cha ajabu wachezeji wamejitahid kusomaa sasa pesa huwapi vyuon wameishia kusoma no ya tshit yako tuu .

Ivi pogba ahad yako ya kuwasaidia wachezaji wanyonge imeishia wapi kwa maana hta sh hawaon tena
hiv pale england wanatumia paund au sh?
 
Wanajamvi mtakumbuka wakati wa usajili tuliambiwa hii timu yetu sasa inasajili bonge la fowadi anayekuja kumaliza matatizo yote.

Hata kuingia kwake ktk timu alikuja na mbwembwe kibao, Mara kufanya mazoezi ya ghafla klabuni usiku au mchana akiwa na waandishi Wa habari ili mradi ajioneshe tuu kwa mashabiki kuwa anauwezo.

Cha kushangaza ligi ilipoanza ameanza kuja na Masharti kibao klabuni eti ili aonekane kuwa yeye ni mchezaji mzuri kuliko Wa timu pinzani tumtimizie mambo yafuatayo.

1. Mabeki wa timu pinzani wote wafungwe miguu na mikono wawapo uwanjani.

2. Timu yetu iwe inapewa penati kila mechi na marefa ili yeye awe mfungaji bora.

3. Timu pinzani zisiruhusiwe kuleta mashabiki uwanjani.

Sasa wenye Akili hapa klabuni tukaanza kuhoji huyu kweli ni fowadi au garasa?
Mbona fowadi tuliye muacha alikuwa anafunga magoli huku mabeki Wa timu pinzani wakicheza japo tulimuona kama kashuka kiwango?

Tena timu pinzani ziliruhusiwa kwenda kwa ndege helcopta au usafiri wowote kokote hapa nchini kuchukua mashabiki na kuwaleta uwanjani katika mashindano mbali mbali.

Uchumi Wa klabu umeshuka ghafla mashabiki hawana imani naye tena kabisa. Wanajiuliza fowadi gani hawezi cheza mechi za kimataifa anag'ang'ania mechi za mchangani tuu.

Huyu Pogba klabu imepata hasara kubwa Sana kwa kusajili mchezaji bila hata kuangalia uzoefu na historia yake hapa klabuni. Anazua hofu ubabe na kushabikia magoli ya mikono eti yawe halali kwa timu yake tuu.
Utafikiri pesa alitoa baba yako
 
Back
Top Bottom