Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,759
- 3,169
Wewe unaweza kuvaa magauni kwakuwa hakuna sehemu wamekataza?
Kwa mfano hiyo picha ya platform. Utamfunga kwa lipi? Au kakosea kipi?Wewe unaweza kuvaa magauni kwakuwa hakuna sehemu wamekataza?
Wewe kama wewe unaweza? Na kama huwezi ni kwanini?Kuvaa au kutovaa ni maamuzi ya mtu mkuu, na hakuna sehemu utamfunga wala kumzuia
Wewe kama wewe unaweza?
Maana yake kwa sasa fikra zako zinaona sio sawa. Kwanini zinaona hivyo? Kipi kinaiamuru akili yako kuona kuvaa gauni au sketi kwako sio sawa?Ikitokea nikaona kuna faida au fikra zangu zikaona ni sawa kwa upande
Ni vituko tu mkuu.Ukimuuliza wapi kumeandikwa hizo taratibu anakimbilia kusema mababu zetu zamani walikuwa hawafanyi hivi...
Wanaogopa kitu hata wasichokijua, ila anaogopa.Kwa mfano hiyo picha ya platform. Utamfunga kwa lipi? Au kakosea kipi?
1. Kuweka maua kichwani?
2. Kushikilia ua
3. Kuvaa hereni
4. Kutumia filter
Sasa fikra huwa hazifanani ndo maana wapo wanaofanya hivyo halafu fresh tu, wanao-judge ndo wanafikra mbovu. Ni sawa na mtu anasema anakula aina fulani ya chakula mfano mbwa halafu wewe uanze kujudge kwanini. Mkuu jibu ni maamuzi tu ya mtu haufungwiMaana yake kwa sasa fikra zako zinaona sio sawa. Kwanini zinaona hivyo? Kipi kinaiamuru akili yako kuona kuvaa gauni au sketi kwako sio sawa?
Wanaogopa kitu hata wasichokijua, ila anaogopa.
Labda anaogopa jamaa akiendelea kujipost hivyo na yeye atashawishika.
Mambo ya hovyo ni mengi huko mtandaoni. Ila ndio hivyo wanaamua kuchagua hayo wanayoogopa kua yatawafika wao.Hawa wamefungwa kifikra mabadiliko ya jamii wanayaogopa
Hahahah anaogopa naye atashawishika.
Kufuata au kutofuata jambo fulani ni maamuzi ya kichwa chako tu
Tushapiga kelele sana kuhusu hiloMziki wa Bongo kwasasa unaharibu taswira na mustakabali wa jamii na utamaduni uliopo....
Serikali waendelee kucheka cheka badala ya kuanza kukemea na kutoa adhabu Kali kwa wanaporomosha maadili kwa makusudi....
Au bado wapo kwenye nyumba za ibada na majukwaa wanatupiana maneno kama watoto?
Hakika zama zimebadilika sana.
Katika kupita mtandaoni nikakutana na picha ya msanii Platform.. Imenifikirisha sana. Itafikia muda sasa jinsia ya kiume kuwa na mionekano ionekane ni sahihi tu kutokana na wasanii wetu kujianika na mionekano kama hii.
Najua sio huyu tu, hata wewe huenda umewahi kukutana na picha za wasanii wengi tu wakiwa na mionekano ya kike. So sad..
View attachment 3360347
Tuliwahi kuishi tukiamini wasanii ni vioo vya jamii kutokana na nguvu waliokuwa nayo katika kuonya, kukosoa na hata kuhimiza maadili yaliyo mazuri.
Hatukatai mziki ni biashara lakini kwa mwenendo uliopo sasa, wasanii ndio wanakuwa kichocheo cha kuibomoa kabisa jamii sababu haohao huimba vitu vya kuchochea ngono, matumizi ya dawa za kulevya, matusi, pombe na mengine mengi kubwa zaidi ni Ushoga na Usagaji.
Wasanii wa sasa huenda mbali zaidi kwa kuihadaa jamii kwa mtindo feki wa maisha wanaouishi. Inawezekana ikaonekana ni kawaida kwa mtu ambaye amepevuka kiakili kung'amua mambo na kutambua huu sio uhalisia, ila wapo ambao bado akili zao hazijawa na nguvu ya kupembua mambo au mengi hawajayatambua kuhusu wasanii ndio huwa rahisi kuhadaika. Mfano wanafunzi (jinsia zote) huweza hata kuamua kusitisha masomo wakiamini muziki unalipa sana kwa kuwa kaona msanii fulani anaishi maisha ya juu sana mtandaoni au anaonekana kumiliki pesa ndefu kwa maisha yake ilhali kiuhalisia kabisa kuna watu wana majina ila uchumi mbovu kabisa. Simaanishi hakuna wenye maisha halisia, wapo lakini asilimia kubwa wanapretend.
Kuna baadhi ya wasanii katika mahojiano yao wamewahi kukiri wazi kuwa hawatamani watoto wao waje kuwa wanamuziki. Hii inadhihirisha wazi kuwa, kama mzazi hafurahii mwanae kuyaishi mambo yaliyopo kwenye game ambayo yeye yumo. Wadada hufanyiwa vitendo vibaya kwa ahadi za kusaidiwa, wavulana pia hutendwa vivyo hivyo kwa ahadi za kutolewa.
Ni hayo tu.
Shoga huyu yaani msenge. Sio msaniiHakika zama zimebadilika sana.