Huyu ni msanii wa kiume..

Huyu ni msanii wa kiume..

Ukimuuliza wapi kumeandikwa hizo taratibu anakimbilia kusema mababu zetu zamani walikuwa hawafanyi hivi...
Ni vituko tu mkuu.

Leo huyu ataonekana wa ajabu, ila miaka ijayo itakua kawaida kama ilivyokua wanawake kuvaa nguo fupi, suruali nk
Leo hii wanawake wanavaa suruali ila ni kama hawajavaa kitu, mambo yote mpaka kipapiro vinaonekana ila hilo aaah liko sawa kwa sasa.
 
Kwa mfano hiyo picha ya platform. Utamfunga kwa lipi? Au kakosea kipi?
1. Kuweka maua kichwani?
2. Kushikilia ua
3. Kuvaa hereni
4. Kutumia filter
Wanaogopa kitu hata wasichokijua, ila anaogopa.

Labda anaogopa jamaa akiendelea kujipost hivyo na yeye atashawishika.
 
Hizo comments sasa, nimecheka had Co poaa, Lol
😂😂😂😂😂
 
Maana yake kwa sasa fikra zako zinaona sio sawa. Kwanini zinaona hivyo? Kipi kinaiamuru akili yako kuona kuvaa gauni au sketi kwako sio sawa?
Sasa fikra huwa hazifanani ndo maana wapo wanaofanya hivyo halafu fresh tu, wanao-judge ndo wanafikra mbovu. Ni sawa na mtu anasema anakula aina fulani ya chakula mfano mbwa halafu wewe uanze kujudge kwanini. Mkuu jibu ni maamuzi tu ya mtu haufungwi
 
Hawa wamefungwa kifikra mabadiliko ya jamii wanayaogopa

Hahahah anaogopa naye atashawishika.
Kufuata au kutofuata jambo fulani ni maamuzi ya kichwa chako tu
Wanaogopa kitu hata wasichokijua, ila anaogopa.

Labda anaogopa jamaa akiendelea kujipost hivyo na yeye atashawishika.
 
Hawa wamefungwa kifikra mabadiliko ya jamii wanayaogopa

Hahahah anaogopa naye atashawishika.
Kufuata au kutofuata jambo fulani ni maamuzi ya kichwa chako tu
Mambo ya hovyo ni mengi huko mtandaoni. Ila ndio hivyo wanaamua kuchagua hayo wanayoogopa kua yatawafika wao.
 
Mziki wa Bongo kwasasa unaharibu taswira na mustakabali wa jamii na utamaduni uliopo....

Serikali waendelee kucheka cheka badala ya kuanza kukemea na kutoa adhabu Kali kwa wanaporomosha maadili kwa makusudi....

Au bado wapo kwenye nyumba za ibada na majukwaa wanatupiana maneno kama watoto?
Tushapiga kelele sana kuhusu hilo
We si unaona huko usafini ndy kiwanda

Ova
 
Tusilaumu serikali kwa kila jambo na kila mtu achunge matako yake mwenyewe, kama unataka kukeregwa haituhusu tuna mambo mengine mengi ya msingi na muda hautoshi
 
Hakika zama zimebadilika sana.

Katika kupita mtandaoni nikakutana na picha ya msanii Platform.. Imenifikirisha sana. Itafikia muda sasa jinsia ya kiume kuwa na mionekano ionekane ni sahihi tu kutokana na wasanii wetu kujianika na mionekano kama hii.

Najua sio huyu tu, hata wewe huenda umewahi kukutana na picha za wasanii wengi tu wakiwa na mionekano ya kike. So sad..
View attachment 3360347

Tuliwahi kuishi tukiamini wasanii ni vioo vya jamii kutokana na nguvu waliokuwa nayo katika kuonya, kukosoa na hata kuhimiza maadili yaliyo mazuri.
Hatukatai mziki ni biashara lakini kwa mwenendo uliopo sasa, wasanii ndio wanakuwa kichocheo cha kuibomoa kabisa jamii sababu haohao huimba vitu vya kuchochea ngono, matumizi ya dawa za kulevya, matusi, pombe na mengine mengi kubwa zaidi ni Ushoga na Usagaji.

Wasanii wa sasa huenda mbali zaidi kwa kuihadaa jamii kwa mtindo feki wa maisha wanaouishi. Inawezekana ikaonekana ni kawaida kwa mtu ambaye amepevuka kiakili kung'amua mambo na kutambua huu sio uhalisia, ila wapo ambao bado akili zao hazijawa na nguvu ya kupembua mambo au mengi hawajayatambua kuhusu wasanii ndio huwa rahisi kuhadaika. Mfano wanafunzi (jinsia zote) huweza hata kuamua kusitisha masomo wakiamini muziki unalipa sana kwa kuwa kaona msanii fulani anaishi maisha ya juu sana mtandaoni au anaonekana kumiliki pesa ndefu kwa maisha yake ilhali kiuhalisia kabisa kuna watu wana majina ila uchumi mbovu kabisa. Simaanishi hakuna wenye maisha halisia, wapo lakini asilimia kubwa wanapretend.

Kuna baadhi ya wasanii katika mahojiano yao wamewahi kukiri wazi kuwa hawatamani watoto wao waje kuwa wanamuziki. Hii inadhihirisha wazi kuwa, kama mzazi hafurahii mwanae kuyaishi mambo yaliyopo kwenye game ambayo yeye yumo. Wadada hufanyiwa vitendo vibaya kwa ahadi za kusaidiwa, wavulana pia hutendwa vivyo hivyo kwa ahadi za kutolewa.

Ni hayo tu.

Shoga huyu yaani msenge. Sio msanii
 
Kiwanda cha mziki&movie kimejaa 🌈 tu

Ova
 
Back
Top Bottom