Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,562
- 44,341
Tumia akili, hizi spana nitawapiga nyote mnaojifanya kutaka tamaduni msizokua nazo. Ukiambiwa tajaa hizo tamaduni hata chache huna, haya basi zimeandikwa wapi nikazisome mwenyewe holaa.Wewe kavae madera, vitenge na vikuku. I'm done
Ujue zamani hata mziki ilionekana ni uvunjivu wa maadili, ila saivi ndio huo hata mwanao unapenda awe Amonaizi.
Haya tuje suruali za kubana (modo), ilikuaje na sasa hivi vipi wewe unavaa mabwanga??
Suruali kwa wanawake na nguo za kubana, zamani ilikuaje vipi sasa hivi. Si ajabu hata dada zako na mkeo wanatokelezea tako linatikiswa tu. Ila zamani walivunja maadili.
Ushauri wangu ni kua, linda kizazi chako na hayo unayoita sio maadili ila usipangie watu wafanye nini maana nchi yenu haina mjumuisho wa hayo maadili.