blackberry m
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 563
- 415
- Thread starter
- #161
umetisha mkuuKama siyo naibu nyoka basi atakuwa kaimu nyoka!
umetisha mkuuKama siyo naibu nyoka basi atakuwa kaimu nyoka!
mkuu dania ndo nini tena???Huu ndo mwisho wa Dania tutaona mengi
Bila shaka alimaanisha duniamkuu dania ndo nini tena???
Uchokozi huo.Mbona hata wanasema binadamu jinsia ya "M' wana vichwa viwili? Sina uhakika hahahahaha
Sasa utakulaje uroda na kupalalaizi ujue kidude kinajikunja kinakuwa kikavu kama kava la parachichi lililokauka ukichoneka unakwanguliwaSasa aki paralaizi si ndiyo itakuwa poa zaidi maana hakuna mtu Ana taka kuchukuwa mwanamke mwenye matatizo..
Wewe jiran yake na yesuhuyu ni aina ya nyoka aitwae kifutu mbilikimo anapatakana only kwenye sayari ya mars......mimi siyo ndugu yake na yesu.....
Ana meno sita tu juu 4 chin mawili hatari habari zake nikiwapa kila jino lina kazi yake twende kichwa cha nyuma daaa hatariUkitazama video yake, utaona namna anavyojitahidi kung'ata
Au atakuwa kadhi mkuu wa nyokaKama siyo naibu nyoka basi atakuwa kaimu nyoka!
Kiwavi tu hicho kinapatikana kwenye mbaazi. Nyuma sio kichwa, ni msambwanda![]()
Mdudu huyu wa ajabu kama mnavyomwona, ana vichwa viwili ambacho kimoja kipo mbele na kingine kipo nyuma (mkiani). Kimeonekana nchini Argentina katika mji wa Sante Fe.
Ila huyo nyuma alikuwa na jichoKiwavi tu hicho kinapatikana kwenye mbaazi. Nyuma sio kichwa, ni msambwanda
Duh!!!!
Hizi imani zinatupa shida kweli. Unakiomba msamaha kiumbe ambacho hukifahamu?
Natamani nikione na one day nitafanya ziara Tabora
Kila kiumbe kina jicho nyuma mkuu, sema jicho la nyuma la binadamu limefichwa na mafigaIla huyo nyuma alikuwa na jicho
Kweli mkuu, Tabora kuna vichaa wengi sijapata kuona! Nahisi hata kwa ombaomba pia wanaongoza
Mkuu asubuhi yote umeamua kunivunja mbavuKila kiumbe kina jicho nyuma mkuu, sema jicho la nyuma la binadamu limefichwa na mafiga
Tema mate chini mkuuNafikiri kwa ombaomba, wanakimbizana na Dar, Dodoma.
Hata huku kwetu wapo mbona wengi tuNilidhani hata huku kwetu wapo.
Ila mkuu hata nao wameshindwa kumtambua achilia mbali kumpa jina
Kufananisha mikoa kwa wingi wa ombaombaNiteme mate chini kivipi, funguka mkuu.