Huyu ni mdudu gani?

Huyu ni mdudu gani?

Anaitwa Ba
3E95F11800000578-0-image-a-1_1490353578301.jpg

Mdudu huyu wa ajabu kama mnavyomwona, ana vichwa viwili ambacho kimoja kipo mbele na kingine kipo nyuma (mkiani). Kimeonekana nchini Argentina katika mji wa Sante Fe.
Anaitwa bashite wa Kolomije
 
Kwa jinsi wanavyo penda sifa Uta sikia,hichi kiumbe Ina bidi kikae ikulu kwa usalama zaidi na siyo makumbusho ya taifa ili watu waende kukiona...
Kina sumu mbaya sana yaanakikipita jiran yako hata hakijakuona harufu Yake tu uaugua mafua na fungus hakuna dawa wakakiweke ikulu mtakuta mkulu wenu kakaukaaaaa
 
Pia ukifanikiwa kumuua ukichemsha ngozi yake ukanywa mchuzi kwa siku 7 kwa mwenye tatizo LA nguvu za kiume atapona na kwa kweli wanawake watakuwa wanakukimbia maana ugegedaji wako utakuwa more advanced
 
Kina sumu mbaya sana yaanakikipita jiran yako hata hakijakuona harufu Yake tu uaugua mafua na fungus hakuna dawa wakakiweke ikulu mtakuta mkulu wenu kakaukaaaaa
Mmmhhhh Sasa Hao watafiti wata fanikiwa kweli kama kina wezo wa kuku athiri ukiwa karibu nacho,nahisi wataishia njiani katika uchunguzi wao maana kila atakaye kisogelea tu lazima aanguke.
 
Tena ukianguka ndo ukiamka mjegejo hausimami na dawa ni supu ya ngozi yake na hapatikani kiurahisi lazma wawe machoko tu
 
Back
Top Bottom