James Mhangwa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 604
- 513
Huyu mbona kiwavi-jeshi. Kwa tuliokulia bush tunawawafahamu sana tu, wamejazana mashambani wanakula magugu na mazao.
Huwa wanabadilika na kuwa vipepeo. Pia ni chakula kizuri kwa ndege wadogo.
Huwa wanabadilika na kuwa vipepeo. Pia ni chakula kizuri kwa ndege wadogo.