blackberry m
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 563
- 415
- Thread starter
- #181
Ina maana hulioni hilo jicho hapo nyuma (mkiani)?Bora bana viroba vimepigwa marufuku.
Hapa natafta miwani ya macho au darubini kukitafuta kichwa cha pili lkn sikioni
Ina maana hulioni hilo jicho hapo nyuma (mkiani)?Bora bana viroba vimepigwa marufuku.
Hapa natafta miwani ya macho au darubini kukitafuta kichwa cha pili lkn sikioni
Kufananisha mikoa kwa wingi wa ombaomba
Ina maana kwamba aliamua kujitokeza hadharani au alipotea njia na kutoka kwenye Nokia?
daah mkuu umenivunja mbavu aseee!!Kwa sababu ya Maradona etiiiKama ni Argentina basi ataitwa dududona!
Iwe ishara ya kuomba msamaha kwa MunguSasa ndiyo niteme mate, ili iweje?
Usivunjike mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
daah mkuu umenivunja mbavu aseee!!
Iwe ishara ya kuomba msamaha kwa Mungu
![]()
Tatizo la kuzaliwa mjini, mdudu huyo hapa Tanzania yupo wala sio ajabu. Kasalimieni babu zenu huko vijijini muwe munaona mazingira na viumbe wa huko
Kuzaliwa mjini ni tatizo, mdudu huyo hata hapa TZ yupo tu. Jengeni tabia ya kwenda kusalimia Babu zenu vijijini mjifunze mazingira ya huko na viumbe.![]()
Mdudu huyu wa ajabu kama mnavyomwona, ana vichwa viwili ambacho kimoja kipo mbele na kingine kipo nyuma (mkiani). Kimeonekana nchini Argentina katika mji wa Sante Fe.
Una uhakika kuwa mimi nimezaliwa au naishi mjini?Kuzaliwa mjini ni tatizo, mdudu huyo hata hapa TZ yupo tu. Jengeni tabia ya kwenda kusalimia Babu zenu vijijini mjifunze mazingira ya huko na viumbe.
Pasina shaka hukuelewa nilichokimaanisha.Yaani hutaki ukweli au? Usipende kuishi na kufanya uongo njia ya kuendesha maisha yako. Utadanganya lakini juwa tu ukweli haufichiki kamwe.
Anatisha mkuuSura ngumu mpaka anaogofya!!
Kama si jasiri, basi mbio zitakuokoaDuh unakutana nae sebuleni!!!
Kikwetu anaitwa 'inzanga' ukimgusa anajipindua, ukirudia tena anajipindua. Jamani sio mdudu wa ajabu. Wale tunaotoka pamoja wamenipata. Sasa wewe mara temeke, kiwalani, uwanja wa taifa, tegeta, mbezi utamwona wapi nenda kamsalimie babu yako utawaonaUna uhakika kuwa mimi nimezaliwa au naishi mjini?
Huyo mdudu ushawahi kumwona wapi?
Je unao ushahidi wa walau picha hata moja?