Huyu ni mdudu gani?

Huyu ni mdudu gani?

Huyo mdudu ni jamii ya snake aliwahitokea huko uchina enzi za king sznfzaeyeng majaabu aliyowachia jinsi alivyokuwa antingishika akiguswa na kitu mfano wa mtu anayepananga mikono wakakati wa mashambulizi ya karate badaye akatoweka .
Ila mkuu utamu wa maelezo yako yameharibiwa na haraka.
Kuna maneno mengi hayaeleweki
 
Kikwetu anaitwa 'inzanga' ukimgusa anajipindua, ukirudia tena anajipindua. Jamani sio mdudu wa ajabu. Wale tunaotoka pamoja wamenipata. Sasa wewe mara temeke, kiwalani, uwanja wa taifa, tegeta, mbezi utamwona wapi nenda kamsalimie babu yako utawaona
Nakuuliza tena, una uhakika kwamba naishi mjini?
Hayo maeneo yote unayoyataja wala hata siyafahamu.
 
Back
Top Bottom