Huyu ni mdudu gani?

Huyu ni mdudu gani?

Tena ukianguka ndo ukiamka mjegejo hausimami na dawa ni supu ya ngozi yake na hapatikani kiurahisi lazma wawe machoko tu
Basi haina haja ya kwenda tanga kuwafunga wake zetu,dawa ni kukamata haka kadudu na kumpa wife atembee nako,atakaye leta shobo tu kaenda na maji.
 
Pia ukifanikiwa kumuua ukichemsha ngozi yake ukanywa mchuzi kwa siku 7 kwa mwenye tatizo LA nguvu za kiume atapona na kwa kweli wanawake watakuwa wanakukimbia maana ugegedaji wako utakuwa more advanced
Unatakiwa centro kwa kosa la kupotosha umma
 
Mmmhhhh Sasa Hao watafiti wata fanikiwa kweli kama kina wezo wa kuku athiri ukiwa karibu nacho,nahisi wataishia njiani katika uchunguzi wao maana kila atakaye kisogelea tu lazima aanguke.
Hawataweza asilani
 
Basi haina haja ya kwenda tanga kuwafunga wake zetu,dawa ni kukamata haka kadudu na kumpa wife atembee nako,atakaye leta shobo tu kaenda na maji.
Na kakimpiga jino wife anaparalaizi ika kanafaa kwa ulinzi
 
Basi haina haja ya kwenda tanga kuwafunga wake zetu,dawa ni kukamata haka kadudu na kumpa wife atembee nako,atakaye leta shobo tu kaenda na maji.
Huduma ya kufunga mademu pia ipo hata demu kumfunga mwanaume mwanangu ukienda guest huon k na mwanamke haon mjegejo noma saaaana unatoka taifa starz 2 uganda hawajapata kitu
 
huyu ni aina ya nyoka aitwae kifutu mbilikimo anapatakana only kwenye sayari ya mars......mimi siyo ndugu yake na yesu.....
 
Hawataweza asilani
Wacho tusubiri majibu yao wata tudanganya vp maana hawashindwi kutuambia hapo karne ya 3 walikuwepo Kisha waka potea baada gharika nuhu ila Sasa vina rudi tena baada kuona sodoma na gomora Ina rudi kwa kasi..
 
huyu ni aina ya nyoka aitwae kifutu mbilikimo anapatakana only kwenye sayari ya mars......mimi siyo ndugu yake na yesu.....
Ukitazama video yake, utaona namna anavyojitahidi kung'ata
 
Wacho tusubiri majibu yao wata tudanganya vp maana hawashindwi kutuambia hapo karne ya 3 walikuwepo Kisha waka potea baada gharika nuhu ila Sasa vina rudi tena baada kuona sodoma na gomora Ina rudi kwa kasi..
Tufanye subira kwani subira yavuta kheri
 
Back
Top Bottom