Huyu ni mdudu gani?

Huyu ni mdudu gani?

Hivi kama hujui kitu kwa nini usikae kimya watalamu wakatupa jibu sahihi kuliko utumbo wako huu?

Aise nawe wajiita Great Thinker!? Nilienda kutafiti kwenye mtandao wakasema ni aina ya nyoka. Kama sio sahihi ungesema tu sahihi ni nini lakini sio kutumia lugha isiyo na ustaarabu. Hunijui sikujui tuheshimiane.
 
Labda mtandao wa Kolomije pekee Ndio unaweza kukuambia kuwa huyo ni nyoka! Sasa kaa kimya mm na ww hatujui ngoja mtaalamu atuambie ww pamoja na waliosema ni bashite na utumbo mwingine kama huo

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
una ubaya na Rogie ?
mbina kuna wengine wamecoment bashite..wengine kiwavi..but huyu otoa yake kwa kusema ni nyoka umemjibu kwa ukali hivo??eti utumbo..

Ajabu kweli. Mtu ambaye anaamka tu asubuhi na kuanza kutumia lugha mbovu kwa watu it tells you how life frustrates him.
 
Nilidhani hata huku kwetu wapo.
Ila mkuu hata nao wameshindwa kumtambua achilia mbali kumpa jina

Tabora wapo haswa maeneo ya Kigwa na kule wakionekana tu ni kama mkosi, wakazi wanawaomba msamaha kwani wanawahusisha na wenzetu waliotangulia mbele ya haki.
 
Tabora wapo haswa maeneo ya Kigwa na kule wakionekana tu ni kama mkosi, wakazi wanawaomba msamaha kwani wanawahusisha na wenzetu waliotangulia mbele ya haki.
Duh!!!!
Hizi imani zinatupa shida kweli. Unakiomba msamaha kiumbe ambacho hukifahamu?
Natamani nikione na one day nitafanya ziara Tabora
 
Back
Top Bottom