Huyu ni chizi fuleshi

Huyu ni chizi fuleshi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,007
Reaction score
859,058
1434268983142.jpg
 
Hahahahaaaaaaa she is truly madafaka
Imagine mshana, eti huyo ni dada yako wa pekee ndani, halafu ndo ana kauwezo uwezo ka kuiweka familia yenu yote hapa makutano. Utamkoromea ama utakula kona?
 
Kona tu kaka hakuna jinsi
 
kamakakamaa kama karoti iliyosahaulika kwenye friji

Ila vikogo flexible hivi, usione havina nyama. Vinageuzika na kupinduliwa kirahisi kama 619 ya reymeysterio!:becky::becky:
 
Hahahahaaaaaaa 🙊🙊🙊🙈🙈
 
Back
Top Bottom