Huyu ni chizi fuleshi

Huyu ni chizi fuleshi

kuna wembamba lakini tako laini
sasa mtu umekakamaa kama unapimwa uzito inakuaje???
huyu nimikanda hivyo ndo vimembana, halafu inaonekana ana stress saaana! si unajua tena kuachwa, halafu hakuna mwenye interest na wewe hata bure? lol lol.. lazima sura ikushuke kama umeshikwa na nyama mdomoni.. lol lol..
 
Jamani itabidi niache sasa maana nyuzi zangu zitanikosanisha na mabest wangu wengi tu lol

Halafu unajua nini broda, nasumbuliwa na ndoto flani flani hivi za kimaono ono! Yani nikiwa ndotoni nakuwa na super power flani hivi hata sijielewagi.
Kama leo si unajua wengi tumelala saa saba sababu ya KTMA bwana, basi baada ya kulala hivi na kupitiwa na usingizi, ndoto zikaanza kufululiza, moja ya ajabu ni hii ambayo nimekemea pepo mpaka limeondoka na kupotea kabisa... dah!
Sijielewagi sometimes!
 
huyu nimikanda hivyo ndo vimembana, halafu inaonekana ana stress saaana! si unajua tena kuachwa, halafu hakuna mwenye interest na wewe hata bure? lol lol.. lazima sura ikushuke kama umeshikwa na nyama mdomoni.. lol lol..

huyu dada ameshindwa kumov on
yaani embu itazame vizuri sura yake ni kama tumbo linakata
 
hivi huyo anawatoto? mbona bogus kiasi hicho.. jitu zima hooovyo
 
Hiyo ni kupendo usupastaa wa bure! Tutaona meengi sana

Vyombe vya habari ndo vinaharibu, mtu kama huyo hutakiwi kumpa airtime hata kidogo! Ukimpa airtime anapata kichwa next time atakuja uchi kabisa
 
Atakuwa Freemason huyo mwanamke sio bure
 
Atakuwa Freemason huyo mwanamke sio bure

1434290144809.jpg 1434290144809.jpg
 
Hiyo nguo atakuwa kavalishwa, kuvaa mwenyewe siyo rahisi.
 
Back
Top Bottom