Huyu ni chizi fuleshi

Huyu ni chizi fuleshi

Nikumbushe.
Kwanza tusemzane juu ya huyu Faiza, ex wa Mh. Sugu.

Huyu mwanamke si msanii katika tasnia yoyote ile hapa Tanganyika, labda aamue kuianza sanaa leo na asajiliwe.

Basata, kwa kirefu chake ni baraza lililoundwa kwa ajili ya kusimamia sanaa mbalimbali hapa Tanganyika toka 1984.

Sasa kama Basata nia yake na madhumuni ni kusimamia sanaa, huyu kama si msanii basi hawezi kusimamiwa na Basata..
 
Very well said Excel na enzi za mchonga angecharazwa viboko pale pale
 
Last edited by a moderator:
Kwanza tusemzane juu ya huyu Faiza, ex wa Mh. Sugu.

Huyu mwanamke si msanii katika tasnia yoyote ile hapa Tanganyika, labda aamue kuianza sanaa leo na asajiliwe.

Basata, kwa kirefu chake ni baraza lililoundwa kwa ajili ya kusimamia sanaa mbalimbali hapa Tanganyika toka 1984.

Sasa kama Basata nia yake na madhumuni ni kusimamia sanaa, huyu kama si msanii basi hawezi kusimamiwa na Basata..

Faidha ni msanii wa bongo moview.
 
Yaani vitako vidooogo ka ugali wa mgonjwa! Halafu vigum ka vigingi

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃
 
Kama ni bongo movie, basi sawa.

Maana huko wanajijua wenyewe, hatuna idadi kamili tunayoiujua ya wasanii wala makampuni ya bongo movie.

Pesa hakuna huko, lazima wajitangaze ili wauze 'sanaa' za miili yao. mkosafedha.
 
Last edited by a moderator:
Hivo vimikanda kanda alivyojibania tumimlazimisha masai dada avae hivi vitamtoa kweli?..:becky::becky:

hahahah na utundu wangu wote sivai hivyo vikamba nikaachi saburi langu hahahah
 
Last edited by a moderator:
Ila vikogo flexible hivi, usione havina nyama. Vinageuzika na kupinduliwa kirahisi kama 619 ya reymeysterio!:becky::becky:
kuna wembamba lakini tako laini
sasa mtu umekakamaa kama unapimwa uzito inakuaje???
 
Back
Top Bottom