Yaan kwa kweli hii ni balaa, wanawake wengine unaweza kuingia relation nae alafu unabaki kwenye sintofahamu kama hiyo.
Ni wazi huyu hawezi kuwa mama wa kumpa mtoto tena wa kike malezi mazuri.Hapa Sugu inabidi afikirie vyema sana kwa ajili ya mtoto.
Hahahahahahahahahahah...........................katako kadogoo kama ndimu
Yaani vitako vidooogo ka ugali wa mgonjwa! Halafu vigum ka vigingi
Ukivitazama tu kwa macho utajua
hebu tuwekeni masihara pembeni wadau, hivi huyu ndio mzazi kweli? maana ana watoto wakubwa tu , maana ana watoto wakubwa na mkuu flani mwenye jina la uheshimwa huko pande za jengo la idodomya.
mikato yake mingine ni kama hii...mie nadhani huyu ilibidi akumbane na sheria kama ile ya kwenye soka ambapo shabikianaweza zuiwa kuingia uwanjani kutazama mechi mpaka pale adhabu yake itapoisha , kwani mimi napata wasi wasi mkubwa na utimamu wa akili yake. mtanisamehe bure kwa wale timu "u.chi u.chi".
![]()
![]()
![]()
Ukisikia chizi anayepaswa kuwa mirembe ndio huyu