LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,717
- 13,439
Huyu jamaa huwa anaibuka vipindi nnchi ina mambo ya muhim then anapotea japo watu wengi wanadhani ni chizi yule sio chizi
Jiulize pesa ya kuishi na kula vizuri hadi kujipodoa anapata wapi, anaishi sehem nzuri umeme kiila kitu kipo ushajiuliza pesa anatoa wai ya bills
Anaandaa drama anawapata watu wake mikorgo kabisa na wana mavazi wanashona ushajiuliza nani anamdhamini
Kuna kipindi alikuwa anazunguka mikoani ile bill ya safari nani alkuwa abalipa