Huyu ni Balali?

Elisha Ray

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
323
94
Wadau naomba mnisaidie. Hivi huyu pichani ni Balali?



Je, imekuwa 'photoshoped' au jamaa kweli ni mzima? Pia kuna picha nyingine ilikuwa 'inamuonyesha' akifanya shopping katika supermarket huko aliko...
 
mbona haifunguki/hamna picha???? Au unataka kuondoa attention yetu kwenye current issue?
 
Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa.
attachment.php
 
Kaazi kweli kweli...hakuna mihimili inayosimamishwa kwa misingi ya uongo....no way!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom