Huyu ni Balali?

Huyu ni Balali?

hayati balali,ndo ulikuwa unamaanisha?
kwani mtu akifa picha zake zinafutika?

wanadai yu mzima hajafa yuko ulaya. kama hii pic ni ya kweli basi ndo watamuua ki-ukweli cos he's supposed 2 be dead...!!
 
nani kawaambia balali alikufa? mnacheza na mafisadi nyie. msiba gani usiohudhuriwa na mtu yeyote kutoka tz????
 
Ndiye mwenyewe haswa kwani kuna siku nipo misele hapa state,boston nilimwona hana hayta wac
 
Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa.
attachment.php

Hii ni photoshop. angalia position ya kichwa na mwili. kwa wataalamu wa anatomy kama msanii et al nadhani mtakuwa mmenisoma. halafu hiyo ni sehemu ya kupumzika sio kusoma gazeti.
 
Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa.
attachment.php

Nami najiuliza sana swali hilo hilo...inawezekanaje vp mambo haya? JK asihudhurie mazishi wala kutoa pole msiba wa Balali? Mnisahishe wandugu.
 
Back
Top Bottom