Huyu ndo mshindi wangu bongostarsearch (BSS) 2019

G_real

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
684
Reaction score
857
Habari za saizi wakuuu

Kwa mtazamo wangu na kwanilivyo mskiza vizuri huyu kijana hamisi ndo mshindi wangu wa mwaka huu BSS.
Anajua kupiga guitar na kuimba anajua.

[emoji116][emoji116][emoji116]Video
 
He is talented hakuna haja ya mashindano ya BSS 2019 wampe dogo tuzo na mkwanja basi

Hapo dogo bado ajakutana na walimu nini unategemea,

Wakimzingua aje uku hotel kubwa kubwa apige hotel kubwa kubwa kipindi tunakuywa wine na whisky yeye anaburudisha kwa gitaa elfu kumi kumi zetu atazichoka
 
[emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona eeeh jamaa anastahili
 
Hakuna hapo wakumshinda dogo msanii alafu kipaji wampatie tu hiyo 50

Ajabu sasa si unaona dogo hapo aeleweki kesho utasikia aunt Ezekiel anamwita baby wakati mwanae uyo 😀😀
 
Back
Top Bottom