Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
BA's na mm mshindi wangu ni yule anaeimba uno evribadi sei unooKumbe ni mshindi wako, kwa upande wangu mshindi ni yule wa kusema "kanyaga mademu wa bongo muvi, Shaa wa Master Jay kanyaga"
BA's na mm mshindi wangu ni yule anaeimba uno evribadi sei unooKumbe ni mshindi wako, kwa upande wangu mshindi ni yule wa kusema "kanyaga mademu wa bongo muvi, Shaa wa Master Jay kanyaga"
Mkuu unahangaisha hisia zako na mzee wakati vijana kama Ebitoke bado wabichi wapo singo!Madam Rita Ni mzuri daaah
Ebitoki?? ,ebu kuwa serious mkuuMkuu unahangaisha hisia zako na mzee wakati vijana kama Ebitoke bado wabichi wapo singo!
yabi mwenyewe sijawahi elewa hiyo maana ya ko aise, sijui ni knock out au, akikujibu nitag
Kaka upo kwenye akili yangu aisee. Huyu dogo kapangwa, kwamba watu wam-judge mavazi yake na umasikini ili iwe rahisi kushinda. Wachache sana wameshtukia huu mchongo. Ni kama kilichotokea kwa jumanne idd walituandaa kisaikolojia kupitia muonekano wa jamaa.This is planned....eti kavaa ndala na baraghashia and anajua kuimba...what a coincidence...good script..mnaandaliwa kisaikolojia!
Mkuu huyo dogo namfahamu yupo Kigamboni kwenye kituo cha kijamii kinaitwa KCC au Kigamboni Community Centre, hayo ndio mavazi yake dailyThis is planned....eti kavaa ndala na baraghashia and anajua kuimba...what a coincidence...good script..mnaandaliwa kisaikolojia!
Sio kwel vitu vidogo kama hivyo majaribu kufatilia mpate uhakika sio tuu kusema bila kuwa fact jamanKaka upo kwenye akili yangu aisee. Huyu dogo kapangwa, kwamba watu wam-judge mavazi yake na umasikini ili iwe rahisi kushinda. Wachache sana wameshtukia huu mchongo. Ni kama kilichotokea kwa jumanne idd walituandaa kisaikolojia kupitia muonekano wa jamaa.
SureMbona wapo watu wakali zaid wa kuimba kwny Bss, huyo muonekano umembeba ila uwezo wa kuimba sio kivile
kama una ushaidi wa maisha yake tofauti na haya uyaweke hapa tuone uongo wao maana huyo anaonekana natiowide ina maana Tanzania nzima asiwepo wa kuonyeasha anamjua hata mmoja ?This is planned....eti kavaa ndala na baraghashia and anajua kuimba...what a coincidence...good script..mnaandaliwa kisaikolojia!