Huyu ndo mshindi wangu bongostarsearch (BSS) 2019

Huyu ndo mshindi wangu bongostarsearch (BSS) 2019

BSS toka ianze wahindi wao wamekuwa magumashi, wameshindwa ku-shine zaidi baada ya shindao kuisha.
 
He is talented hakuna haja ya mashindano ya BSS 2019 wampe dogo tuzo na mkwanja basi

Hapo dogo bado ajakutana na walimu nini unategemea,

Wakimzingua aje uku hotel kubwa kubwa apige hotel kubwa kubwa kipindi tunakuywa wine na whisky yeye anaburudisha kwa gitaa elfu kumi kumi zetu atazichoka
Basi vipaji hamna kama huyo anajua kuimba. Gitaa ndio limewaingiza ha kike na madaam kulia. Dogo kuimba wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom