Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

Ambikile mwasapile a.k.a babu wa loliondo heeheheh mzembe usanii wake umetisha
haaaa haaaa,mupenzi hapa tuko pamoja ki ukweli hakuna msanii mbunifu km mzee wa kikombe lol!chezea sn akili za watu mpaka waliosomi na matajiri wakasalimu amri na kushea vikombe na maskin dah!!
 
mimi nawakubari vijana wawili one the incredible na stereo
mama kanifunza nisiwe mchoyo wa maarifa
but mpole aliye msiri kama choo cha kanisa
 
x-plastaz! wana dude moja linaitwa 'USHANTA',MI KOMA KABISA!hip-hop ikapigwa mix na kitu cha kimasai hivi.........mama mama mamaaa,balaa!
 
umeona jamaa ni soo
yani yuko mzuka mbaya mnooo

mbali na kuguswa na kale ka ujumbe ila maujanja ya dogo kucheza na sauti yake hadi Fally Ipupa alikoma nae!........'nilishakosa mambo mangapi,bado we ukanipa nafasi,na ukaniahidi hakya mungu huniachi..............nitakupenda milele daima'..kuna mtu huu wimbo humliza aisee,hebu ngoja kwanza nipige simu kidogo..lol!!
 
Banana Zorro is my favourite Artist, jamaa anajua ile mbaya.
 
20%
money imenifanya nkutoroke na itanirudisha tuwe wote....,
mama neema ulimuacha neema na siku naneee.......,
ningekusamehe ila moyo wako una hila.....,
ya nini malumbano heri nikae pembeni.....,
tamaa mbaya chunga tamaa mbaya...........,
 
Mkuu J Mo ni jembe la ukweli

Huu ndio uhalisia wenyewe!!
Albam ya ULIMWENGU NDIO MAMA ndio albam pekee ambayo nyimbo zake ZOTE ziliingia kwenye Top-10 ya more than 70% ya Radio Stations zilizokuwepo that time albam inatoka.
Rest 30% labda nyimbo chache tu zingekosekana.
 
Na fight nibadilishe hali ya home kwa mama,.... Dingi ka lost kuna wadogo wanajitaji kusoma aah ...popoteeeee, chochoteeee, mileleleeeee eieeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom