Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

Wabongo wanaimba vizuri. Nyimbo zao zina ujumbe kiasi... Bado natafuta yupi ni the best kati yao!
 
freddy Saganda......mkali aliyeimba bongo flava kwa lafudhi ya kichaga miaka hiyo!vilevile ni actor na mchoraji!mama mary alikuwepo.urasa alikuwepo na yule mtoto wa pale naye alikuwepoahhahahhhaa!!jamaa yupo talented
 
mi namkubali barnaba tu na kitu chake cha usilete zarau
 
Muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania,
mambo niliyoyafanya hayapasi kusimulia.......
........
Wanajamii wamekuelewa lakini? maana imekuwa kipindi cha milazo ya kuchagua ma song!
ie. dont fool others so that they will not fool u. go back and open their minds. mambo niaje excellent!
 
mi namkubali twenty pa asilimaile,habani pua yule
 
we shark angalia signature yake hapo ndo maana ya mada yake inaanzia hapo kwa kauelewa kangu, afu go thuruu za mistari, ukigundua kitu niambie, usipo, niulize! 'za muda!!!'
 
mi namkubali twenty pa asilimaile,habani pua yule
aaah!!!!!! habari yako daughter!!!!! naona upo kwenye milazo ya ma song! lakini poa ebu angalia signature yake mi kama naona kitu fulani hapo kulingana na mada aliyoitoa au we unaonaje?
 
Mi namkubali Roma na Godzilla
afadhali wewe coz mada ya excellent afu ukimtaja roma mwake kabisa, napenda ungenitumia baadhi ya mistari yake ambayo unafikiri ni kwa nini umempost hapa ingekuwa pouwa.
 
Nilijua tu lazima umtaje mwanao wa Kinondoni....watoto wa kino bana. me namkubali the one and only one....piga keleeeeleeeeeeeeee for Mr.2 sugu

unajua hawa vijana wa kino nachowakubali unaweza ukawachukulia matozi kumbe wamepinda!halafu wanapiga vidudu mtoni na na nguo zinawakaa!mchek kaka yao aliyeleta mapinduzi ya uvaaji kwa vijana wa bongo flava!khaleeed mohamed ukipenda muite T.I.D mkali asiyechuja tangu primary!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom