Huyu ndiye PDG Ndama Mutoto ya Ng'ombe

hahahaaa kweli duniani kuna mambo... Huu ni ulimbukeni kumwaga mihera hivi kumbi za starehe. Mutoto ya ngombe hovyo.
 
Hapo anapokuwa anamwaga pesa ndio anapata zaidi maana pesa zile inasemekana ni za majini hivyo kwake haina shida sana
 
Wala hatishi kiasi hicho kama wanavyotaka kumuelezea,hiyo aliyotoa hapo si ni kama Euro 100 tu,haitoshi hata kununua kiatu cha maana.
 
Si pia alikuwa na kesi ya kukutwa na viungo vya albino sijui kesi iliishia wapi
 
Huyu kweli mtoto wa ng'ombe hana akili sawa sawa. Kwanini asiende kusaidi maskini huko vijijini akaoneka wa maana zaidi?
 
Hapo anapokuwa anamwaga pesa ndio anapata zaidi maana pesa zile inasemekana ni za majini hivyo kwake haina shida sana

wacha kuamini mambo yasiyo na maana wewe hiyo fedha siyo ya jini wala mjomba wake shetani. Ni fedha iliyopatikana kiharamu na ndiyo maana haina uchungu wo wote.
 
Jamani hawa watu wanaitwa mapedeshee wanashangaza sana kwanini wasiwe wanasaidia watoto wa mitaani au wanaishi kwenye nyumba za watoto yatima matokeo yake wamekuwa wakitafuta sifa za kijinga
 
Hivi mnajua hizo hela alizotunza baadae wanamrudishia:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Mmmmmh wandugu shule muhimu,haka katoto nakajua toka kanakua huko kwao magomeni mapipa juu,shule ilikapiga chenga mbaya sana.mungu akunyime kila kitu lakini sio busara wandugu.whats this...u.p.u.mbavu mtupu.
 
huyu jamaa majuzi tu kaiba Kontena kama nne hivi na ndo kazi zake kwa sana tu hivyo hizo hela hana uchungu nazo....
 
Wenzie majuu kama kweli unazo unazimwaga kama mvua. Sio unahesabu vinoti vyako huku moyo unakudunda.
Kama yeye kweli ni "baller" alitakiwa azimwage ukumbini kila mtu achukue kivyake, kwani true players make it rain baby................
 
Back
Top Bottom