Huyu ndiye mume wangu

Hata nikiumwa hakuna haja ya kutafuta ndugu wa kusaidia. Mambo yanakwenda kama kawaida.
 
Japo kapicha kake please

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huo upande wa pili kazima atakuwa anapumuliwa kisogoni.

Kazi za kike anafanya yeye ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata nikiumwa hakuna haja ya kutafuta ndugu wa kusaidia. Mambo yanakwenda kama kawaida.
Absolutely!
Ila fanya umsaidiage kazi kidogo mumeo kwani akifanya kazi za nyumbani yeye kila siku hawachelewi kusema umemwinamisha.😁😁😁
 
Babu Asprin hongera kwa kuunga mkono juhudi za bibi Sky Eclat za kubwia limbwata kwa hiari yako.
Bibi malizia hapo chini awe anakufulia nguo zako, kupiga deki pamoja na kuosha vyombo.

Maendeleo hayana chama
 
No no nguo zangu ninafua na deki ninapiga pia ndugu zake ninawapenda sana.
 
No no nguo zangu ninafua na deki ninapiga pia ndugu zake ninawapenda sana.
Hongera bibi, siku zote nlikua sijui kama babu Asprin ni mpemba mpaka leo ulivyosema jumamosi anachukua kikapu chake anaweka kwapani anaenda zake markiti na hasahau hata pilipili.

Maendeleo hayana chama
 
Umemtengeneza vizuri sana , hicho ndicho tunachotakiwa kufanya, tengeneza mtu unayempenda kichwani mwako, mpe sifa zote halafu basi ishi nae utaona maisha rahisiiii...hongera bibie!
 
Ndio mana Asprin analala sana...manake baada ya kazi za kufua na kupiga pasi anatakiwa aje amalizie na kwa bed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akishafanya yote hayo hapo kwa bed ataishia kupakapaka rangi tu.

Maendeleo hayana chama
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…