Huyu ndiye Matonya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye Matonya!

Discussion in 'Jamii Photos' started by misnomer, May 9, 2011.

 1. misnomer

  misnomer Senior Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tonya.png
  Tonya ndani ya Manispaa ya Morogoro wikendi hii
   
 2. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Assaalaaaleeee!!!! Mbona amelala kwenye maji machafu????....
   
 3. s

  shoshte Senior Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani jamaa kaogea nini sababu hiyo sio kufulia tena tettettetet:A S-baby::bange:
   
 4. N

  Nancy70 Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani kajifanya ana ugonjwa wa akili au? Kwa nini alalie maji machafu msaada angepewa tu bila hata kulalia hayo maji.
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Tonya Boy at work !!!!!!!!
   
 6. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mmmmmh! ana huzunisha hivi hanaga ndg?
   
 7. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 558
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  busara busara izee wenda mambo yatanyookaaa! Jamani mniaminii...natafuta utajirii.. Na sitaki kuwa spea tairii..!
   
 8. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  labda aliona akilala kwenye maji machafu,msaada utakuja as faster as ......! Dah,tonya! Pole sana,yote maisha!
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Ndugu ungekuwa unamjua hii mutu usingeuliza hilo swali...ana style nyingi sana!! sasa uliza hapo kwenye maji anakaa hivyo muda gani...pita asubuhi,pita mchana,pita jioni...yupo hivyohivyo..kudadadadadeki!! tena hapo amejipooza sana!! huwa anashindaga juani masaa 12, akina makamba wote wanamjua huyu bwana.
   
 10. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mbona nasikia ana familia na ng'ombe kibao huko kwao?
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,012
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  si tu ni omba omba, bali hata akili yake ameiweka kwenye cage ya utumwa kwamba kwa kufanya hivyo ataonewa huruma matokeo yake kila mtu anamshangaa. Huyo mama anayemshangaa ni rika lake kabisa
   
 12. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  kweli kila mtu kwenye fani yake anatakiwa kuwa creative ili kufikia malengo..........
   
 13. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Atakuwa na matatizo ya akili vilevile si ombax2 tu
   
 14. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 33
  nakubaliana na maelezo yako.. yani wanalemaa kweli. kuna mmoja alikuwa anahojia na mtangazaji mmoja wa TBC1 huko dodoma (kipindi sikikumbuki ila walikuwa wanauzungumzia kuhusu watu wa kabila flani kwa nini wengi wao ni ombaomba) basi yule mzee alikuwa anaongea huku mkono wake kaunyoosha kwa staili ya kuomba!! tulicheka sana yaelekea hata nyumbani akikaa mkono unakuwa unaomba!!
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,716
  Likes Received: 1,660
  Trophy Points: 280
  Huyu ni tonya wa vaiteti,dunia mapito na spea taili?
   
 16. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,731
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ina maana hayo maji hayafeel au ndio anatafuta sympathy..?
   
 17. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,995
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  huyo ndiye tonya mwenyewe...
   
 18. A

  Aine JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,615
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mh, matonya, namuonga hapo darajani, ila nasikia ana nyumba nzuri tu na ng'ombe wengi sasa kama ni kweli, tatizo ni nini au hulka tu?
   
 19. S

  SUYA Senior Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naskia watu wa dodoma baadhi ndo tabia zao
   
 20. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  matonya ni maarufu,
  nafikiria jinsi yakuutumia umarufu wake ili nimtoe kimaisha.
   
Loading...