Huyu ndiye Matonya!

Huyu ndiye Matonya!

Hakuna kitu kibaya kama utumwa wa akili...hili la Matonya ni janga la kitaifa....tunatofautiana kwa magnitude tu ya kufanya hivyo ndio maana huwa tunajisifia kuomba na kupewa misaada. Matonya yeye ameamua kutokwenda ulaya na marekani...anatukamua wabangaizaji wenzake.sisi wengine twasafiri kwa ndege kwenda kuomba misaada.Ila kuomba ni kuomba tu
 
Come on tonya! U still can get some money..even usipolala in those dirty stinkin water nshit.
 
Mbinu yake yakijinga sa anadhan nami atamfuata kwnye mimaji huko ampe msaada.
 
Hakuna kitu kibaya kama utumwa wa akili...hili la Matonya ni janga la kitaifa....tunatofautiana kwa magnitude tu ya kufanya hivyo ndio maana huwa tunajisifia kuomba na kupewa misaada. Matonya yeye ameamua kutokwenda ulaya na marekani...anatukamua wabangaizaji wenzake.sisi wengine twasafiri kwa ndege kwenda kuomba misaada.Ila kuomba ni kuomba tu

Duh babu Matonya bado yupo?Any way your post portrays the real image.
 
Huyu jamaa ni bonge moja la creative enterprenuer maana ana miradi mingi sana na hapo ndo hasa yupo kazini na anaonyesha jinsi anavyoimudu na kuipenda kazi yake atii!!!
 
Back
Top Bottom