Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
kiukweli ni kamanda wa ukweli, na anwanyima sana usingizi wanamagamba.
keep going kamanda
He is one of gifted man I ever seen
kiukweli ni kamanda wa ukweli, na anwanyima sana usingizi wanamagamba.
keep going kamanda
Wewe mpuuzi kabisa....kwani kakwambia lini anataka kuongoza nchi? HATA KAMA KUNA UBAYA GANI? Hebu elimika
Andry Nirina Rajoelina (born May 30, 1974), is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on March 21, 2009, during the 2009 Malagasy political crisis, after holding the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. Over the course of his teens and early twenties, he gained popular recognition in Antananarivo as a DJ at local clubs and parties, and later for organizing and promoting musical events in the capital.
mkuu safari_ni_safari una uhakika kama mdau unayejaribu kumuelwesha hii lugha ya malkia inapanda?
Naona umewamisi sana viwavi wa Zitto Kabwe sasa unawachokoza waje hapa kwa hasira zote, ila nadhani saa wako bize kupika majungu dhidi ya Heche huko Morogoro.
manem na utendaji ni vitu viwili tofauti kuongoza nchi sio kuongoza disko
Mbowe na Lema nani anatema madini...kwi kwi kwi.
Kuna haja sasa kama sio ulazima wa JF kufanya sensa ya kufahamu umri, weredi na fikra za MEMBERS wake, huwezi mtu mzima na akili timamu katika ulimwengu wa leo kustahajabishwa na kumsifia mtu kwamba anajua kuongea, heti ana madini?
Hii nchi tumeshasikia kila tunachotaka kusikia, kilichobaki ni kuona na kushika ambayo hiyo kazi tumewaachia na tutaendelea kuwaachia CCM waifanikishe kama Ilani ya chama inavyotafsiri, wewe kama unatamani kuendelea kusikiliza hao waropokaji kawafate bilicanas ukawasikilizie live huko sio kwenye Youtube videos.
anatema Madini aina gani?... dhahabu, almas au tanzanite
Wewe mpuuzi kabisa....kwani kakwambia lini anataka kuongoza nchi? HATA KAMA KUNA UBAYA GANI? Hebu elimika
Andry Nirina Rajoelina (born May 30, 1974), is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on March 21, 2009, during the 2009 Malagasy political crisis, after holding the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. Over the course of his teens and early twenties, he gained popular recognition in Antananarivo as a DJ at local clubs and parties, and later for organizing and promoting musical events in the capital.
Morogoro wapi tena Mkuu mbona mnaongea kwa mafumbo??? Leta nyeti hapa au unipm tafadhari!!!Subiri muda si mrefu watamaliza kikao morogoro sasa uone watakavyoingia JF kwa spidi ya kufa mtu.
manem na utendaji ni vitu viwili tofauti kuongoza nchi sio kuongoza disko
manem na utendaji ni vitu viwili tofauti kuongoza nchi sio kuongoza disko
na kuongea sio kutawala na ndio maana leo hatuwezi kumweka mrisho mpoto kuwa rais wetu
manem na utendaji ni vitu viwili tofauti kuongoza nchi sio kuongoza disko
Wewe Mkuu ni popo??? MNyama si mnyama ndege si ndege we una hang tu huna upande chagua vinginevyo itakukost!!!yote mtasema lakini matokeo ni .... 2015, mi cfungamani na upande wowote.