Huyu ndiye Freeman Mbowe wa CHADEMA

Wakuu.

Mtakumbuka kuwa nilisha wahi kuandika hapa jukwaani kuwa kwa sasa hivi hapa Tanzania hakuna mwenyekiti wa chama chochote cha siasa mwenye influence na anae tema madini mdomoni akiongea kumzidi kamanda Freeman Mbowe.

Ukiweka ushabiki pembeni na kusimamia ukweli, Mbowe amekuwa mwenyekiti mwenye mvuto wa kipekee kwenye medani za siasa za Tanzania kwa sasa kuliko mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.

Japo najua watanzania wana kiu na njaa ya mabadiliko ambayo naamini wamekata tamaa kuyapata ndani ya ccm naamini uwezo na influence ya Mbowe pamoja na viongozi wengine wa chadema imechangia sana kuiweka chadema kwenye ramani iliyopo sasa.

Asiye amini kuwa Mbowe anatema madini mdomoni atafute hotuba zake au asikilize kwa makini hii hapa chini



Hivi mtoi umekula maharage ya wapi?

yaani Mbowe anatema madini au anatema vepa?

Yaani mkutano mzima huwa ni kujinadi eti "tumeruka na chopa tuka tua Mbeya,tukapiga,tukaruka tumetua wenyewe mnaona nguvu ya umma,peoplesssssss,ccm wamekisha Chadema tunakwenda ikulu,Makamanda kunja ngumi,kohoa kidogo,peoplesssssss,peeeesplesasss......
asanteni sana"

Sasa hotuba kama hizo ndio unaziita madini,hivi unawalamba Miguu ili wakuhurumue na kukuamini?

Wewe si Mwislaam?.......unadhani waislaam mnaaminika chadema.....wewe unapaswa kutafakari upya kuhusu hilo andiko lako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom