Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,548
- 2,571
Firauni ilikua ni cheo cha mtawala wa Misri, mkuuSo waarabu toka Misri ji mafirauni?
Firauni ilikua ni cheo cha mtawala wa Misri, mkuuSo waarabu toka Misri ji mafirauni?
Aisee firauni eehFirauni ilikua ni cheo cha mtawala wa Misri, mkuu
The Pharaohs kiingereza kiswahili ni Firauni
Team ya Taifa ya Misri inaitwaje?
Kwahiyo timu ya taifa ya misri inaitwa mafirauniThe Pharaohs kiingereza kiswahili ni Firauni
Team ya Taifa ya Misri inaitwaje?
Unao ushahidi wa hiki ulichokiandika ?Alikuwa ni mweusi tii! Jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II (Great Ramesses) au Sese.
Hivi hawa waandishi hizi habari huwa mnashindwa kuwahoji ? Hapa nakuuliza wewe swali, mnao ushahidi ya kuwa mwili huo ni wa huyo mnaemzungumzia ?Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa bahari ya Red sea. Hapa sasa Prof Maurice anadai kuwa Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida. Pia si mwili wa Ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya Misri pale mjini Cairo, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.
Mbona hamtupi ushahidi ya kuwa huyo ndiyo Remesses II mwenyewe, kinyume chake mnatupigia stori tu.Wamisri wa kale wakipinga kabisa madai hayo na kudai Sese alifariki akiwa na miaka zaidi ya 87 kutokana na maradhi ya kibinadamu. Moja ya ushahidi ni wa mwili wake ambao unaonekana wazi kuwa mtu huyo alifariki akiwa mzee kabisa kwa mujibu wa utafiti wa wanasayansi wa mambo ya kale ulioongozwa na Prof Maurice.
kwa akili tu ya kawaida, kama kweli firauni alisema hayo maneno ni nani aliyeyasikia na kuja kuyasimulia ? hivi kwa mfano mimi ningekuwa ni abiria wa meli iliyozama baharini kabla sijafa niseme maneno fulani alafu nife na abiria wenzangu, nyie huku jamiiforums mtayajuaje hayo maneno ?
Hujajibu swali,nimesoma sijaona ndio uniambie sasa,Firauni alikuwa muislamu kivipi ? Nithibitishie hilo.
Usiwe na papara,unachotakiwa hapa kile unachokiongea a kukiandika uwe na elimu nacho na uweze kukijengea hoja,nasubiri uthibitisho ya kuwa Firauni alikuwa Muislamu.
Kwanini Timu ya Misri wanajiita Mafirauni?Hujajibu swali,nimesoma sijaona ndio uniambie sasa,Firauni alikuwa muislamu kivipi ? Nithibitishie hilo.
Usiwe na papara,unachotakiwa hapa kile unachokiongea a kukiandika uwe na elimu nacho na uweze kukijengea hoja,nasubiri uthibitisho ya kuwa Firauni alikuwa Muislamu.
Historia yako ya uongo wakati wa zama za kale watu waliishi miaka mingi sana we unatuambia alikufa na miaka themanini Yan mzee sana acha uongo wakat huo ni kijana tuHiyo picha siyo ya Pharao Rameses.. linganisha na hii hapa.. hiyo uliyoweka ni ya albino. Rejea jinsi maalbino walivyokuwa na hila kutaka wao ndo wafahamike kama mafarao.. wakati walikuwa tu vikaragosi enzi za Khemet..
View attachment 1170990
Soma vizuri uelewe dogo.. acha kukurupukaHistoria yako ya uongo wakati wa zama za kale watu waliishi miaka mingi sana we unatuambia alikufa na miaka themanini Yan mzee sana acha uongo wakat huo ni kijana tu
Bonge la swali aiseeee hahahaha.Uislaam ulianza lini? Tuanzie hapo
Wana historia wa kisecular huwa wana vituko sana,wakiona jambo limewazidi ukubwa na maarifa basi wana hoji kitoto sana,hii si hoja bali ni wasi wasi tu.
Firauni alizama katika katika kuhaha kwake alisikia akizungunza maneno na huo ndio ushahidi tosha ya kuwa Firauni alikufa na Allah aliye juu aka ahidi ya kuwa ata uhifadhi mwili wa firauni ili watakao fata waone na wapate kujifunza. Lakini swali lina kuja je walio kusudiwa kuuona huo mwili ni kina nani na je ni kweli mwili wa Firauni upo kweli mpaka leo ? Ukweli uko kinyume.
Allah aliye juu anasema katika surat Yunus :
90. Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. Hata Firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: Naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!
91. Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!
92. Leo, basi, tutakuokoa kwa mwili wako, ili uwe Ishara kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu. (Yunus : 90 - 92 )
Nipo ......
Aliye simulia Apo si Allah mwenyewe,hakuna kinachojificha kwa Allah,kiwe Cha Siri Wala dhahilikwa akili tu ya kawaida, kama kweli firauni alisema hayo maneno ni nani aliyeyasikia na kuja kuyasimulia ? hivi kwa mfano mimi ningekuwa ni abiria wa meli iliyozama baharini kabla sijafa niseme maneno fulani alafu nife na abiria wenzangu, nyie huku jamiiforums mtayajuaje hayo maneno ?
Awe Pagani,budha,Tao inakusaidia nn mkuuFarao alikuwa muislam tena Mwarabu wewe hujui historia
Sasa Ni nani aliyeyasikia hayo maneno.Aliye simulia Apo si Allah mwenyewe,hakuna kinachojificha kwa Allah,kiwe Cha Siri Wala dhahili
Sent from my Infinix X5516B using JamiiForums mobile app