Huyu ndiye FIRAUNI/FARAO na maajabu ya maiti yake kutokuoza

Prof Maurice Bucaille ambaye umemtaja hapo aliuona ukuu wa Mungu na akathibitisha ule ni mwili wa Firauni aliyetajwa katika vitabu vitakatifu. Prof. huyo baadaye alisilimu na kuwa Muislamu safi.
 
Alikuwa akijiita Mungu. Logic ipo simple tu.Allah aliuokoa mwili wake ili watu waje kuuona na kusadikisha kuwa hakuwa Mungu kwani amekufa. Kumbuka kuna watu walikuwa wakimuabudu.
Huu upupu hua mnafundishwa Wapi nyie watu?
Hiyo ni Mumification ya accient civilization Hiyo ni Moja ya Teknolojia kati ya Teknolojia za Hali ya juu hapo kale kumbuka Wamisri walipewa ustaarabu wa high advanced technology na Sirians wa kale waliopata kutembelea Dunia

Sirian au Star child ni Moja ya Aliens walioanzisha ustaarabu Misri na Meso America pia Hawa walikua ni time traveler Toka kale wakiutembelea Ulimwengu wote na kueneza ustaarabu wa Orion's

Au utaweza waita child from Sirius Planets,child of true love,time traveler to Galactic civilizations!

Someni mpate maarifa!
 
Back
Top Bottom